kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,710
Haya jenga sasa.
Haya jenga sasa.
Mkuu hiyo namba moja hizo tofali zinahusika na foundation?3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Mkuu umetoa ushauri wa msingi sana.Jambo la msingi sana hasa kwa nyakati hizi ni kuhakikisha unaanza kujenga nyumba ambayo una uhakika inaendana na kipato chako
Duh! Kweli inategemeana, imekugharimu pakubwa sana kulingana na mimi nilivyojenga.Itategemea na maeneo aliopo na upatikanaji wa malighafi.. maana mm nna kipanda cha 1 masta, 1 siting room na jiko nimetumia 7milion na bado finishing
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umetumia kiasi gani? Na ni mkoa gani?Duh! Kweli inategemeana, imekugharimu pakubwa sana kulingana na mimi nilivyojenga.
Ndo maana nimesema hardwere kubwa,mtu anacapital ya over 50M hawezi kukuletea abc na 3m yako mkuu...na huwa ni wakarimu na wenye kukutia moyo mnoo....kiasi kwamba unaweza jenga ukakwama mifuko mitatu ivi au misumari na fundi ushamlipa hela yake ye anadai vifaa tuuu haoni tabu kukupesha material hata ya laki3 as long as anajua site yako mkuuAsantr sana mkuu nawaza kuwekeza kwa hardwares ila nawaza pia je pakitokea mwenye hardware kaleta ABC ntafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Unenena vyema mkuu, its a good optionNdo maana nimesema hardwere kubwa,mtu anacapital ya over 50M hawezi kukuletea abc na 3m yako mkuu...na huwa ni wakarimu na wenye kukutia moyo mnoo....kiasi kwamba unaweza jenga ukakwama mifuko mitatu ivi au misumari na fundi ushamlipa hela yake ye anadai vifaa tuuu haoni tabu kukupesha material hata ya laki3 as long as anajua site yako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli hicho ni chumba au uwanja wa mpira3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Mkuu hichi ni chumba cha ikulu jamaa anataka ya 3m habari za gypsum tiles na rangi za nini? Hapo unapandisha chumba madirisha ni boxes then unaimalizia kidogokidogo na hela ambazo ungeenda kumlipa baba mwenye nyumba3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Aisee ingeneer hii nimeidoma????? kumbe naweza jenga.3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Umeandika namba zote izo ila kutuweka jumla umeona tutafaidi sana eeh??3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!