Mponda 02
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 534
- 508
Kule Iringa mbao haziliwi sana na mchwa.Kwa hyo pesa unaweza kujenga nyumba ya (wooden house) mabanzi tena nyumba kubwa na nzuri kabisa
Nimeziona sana maeneo ya iringa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maeneo yenye mchwa nyumba za mbao hazidumu.
Sent using Jamii Forums mobile app