Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,066
Naiomba Serikali yetu tukufu iendelee kupiga marufuku mihadalati, Hakika imeharibu vijana wengi sana
Me nilidhani yeye ni fundi na hicho ni kima anachotoza...NAJENGA NYUMBA KWA 3M TU!.
Hii heading tungo tata
Huyu kaja kunitisha, mi sijengi nyumba kama ya Navi kenzo bhnaKama bajeti ndo hizi basi watu wangekuwa hawajengi. Bajeti ya chumba kimoja kama ya nyumba nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikajua yeye ndio anajenga..heading ingesoma hivi..nataka kujenga nyumba kwa 3MNAJENGA NYUMBA KWA 3M TU!.
Hii heading tungo tata
MKUU WENGI HAWAJUI NIMETOA HUU UZI KWA MADHUMUNI GANI,Nyumba kama hiyo kwenye picha ndio unataka kwa 3m?
Hapana mkuu haitowezekana kwa pesa hizo
Jitahidi ujichange hata muda wa miaka 2 uongeze japo ifike hata 5m kijijini unaweza weka hata mgongo wa tembo wa maana
Haya mambo siyo yakufikilka humu jf hakuna mafundi malaika wakuotesha vitu from no where. Ingekuw hivyo wengi tungekuwa matajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea wanajenga na nini! kama nyumba ya miti na makuti itahusika bado ujenzi uko juu unaweza tumia hata zaidi ya 1mil kununua miti na makutiKama bajeti ndo hizi basi watu wangekuwa hawajengi. Bajeti ya chumba kimoja kama ya nyumba nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Naiomba Serikali yetu tukufu iendelee kupiga marufuku mihadalati, Hakika imeharibu vijana wengi sana
YaaahNikajua yeye ndio anajenga..heading ingesoma hivi..nataka kujenga nyumba kwa 3M
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri misemoNaiomba Serikali yetu tukufu iendelee kupiga marufuku mihadalati, Hakika imeharibu vijana wengi sana
Ndio kitu cha kwanza mimi kuelewa
Uwezi hata kidogo, mimi nimejenga nikiwa na milioni kumi na bado nyumba haijaisha asikwambie mtu ujenzi ni habari ingine, achaga tu wenye nyumba waendelee kuringa.
Sent using Jamii Forums mobile app
M3 Kujenga nyumba?? Acha kutaka kupotosha watu hapa.