Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
We umeongezeka bajeti kubwa akijenga nyumba ya kawaida tu kwa hiyo pesa anaweza kuinua tu na kuezeka lakin finishing akamalizia pole pole hiyo kama vigae,madirishaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU WENGI HAWAJUI NIMETOA HUU UZI KWA MADHUMUNI GANI,


MIMI NIMEDHAMIRIA KUONA NI VIJANA WANGAPI WANA NDOTO ZA KUMILIKI NYUMBA.

NA

JE KWANINI TUNAKWAMA KUMILIKI NYUMBA KWASABAB YA KUWAZA VIKUBWA ANGAL VIDOGO TATIZO.

THANKS

Sent using Jamii Forums mobile app
Oek sawa mkuu nimekusoma

Lakini si rahisi pia mtu kujua unawaza nini wengi watajibu kutokana na andiko na siyo kile unachowaza.

ILa endelea kuwaelimisha vijana kama inawezekana maana kama ni hivyo basi utatuokoa wengi maana kama 3m tutajenga maisha yatakuwa "shumbwela" makamanda tusemavyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mkoani inawezekana japo haitaisha kiviiile

tofali za kuchoma 1500@ 100- 150,000
fundi msingi-boma -400,000
bati bando 2 475,000 (za kawaida )
waweza jengea udongo ukaja chapia simenti ila renta lazima kwa wastani mifuko 20-25 (sijui mkoa uliopo simenti bei gani)
mbao za kenchi -400,000-500,000
umeme 300,000
mfumo wa maji 300,000
choo 200,000
milango mi 3 ...300,000-500,000
dirisha 4 @70,000 za mbao, aluminiamu ziko juu

gypsum, tires na fundi -500,000
 
Nyumba kama hiyo kwenye picha ndio unataka kwa 3m?

Hapana mkuu haitowezekana kwa pesa hizo

Jitahidi ujichange hata muda wa miaka 2 uongeze japo ifike hata 5m kijijini unaweza weka hata mgongo wa tembo wa maana

Haya mambo siyo yakufikilka humu jf hakuna mafundi malaika wakuotesha vitu from no where. Ingekuw hivyo wengi tungekuwa matajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kama ana kiwanja kwa hiyo pesa ajenge vyumba viwili na sebule chumbani kwake kuwe self lakin 8siwe na mbwembwee ,vingine atamalizia taratibu akizidisha maurembo hawezi kwa hiyo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amesema ANATUMIA MATOFALI YA KUCHOMA

Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo maana nikasema; itategemea anajenga nini na wapi, tofari za kuchoma kwa dar ni gharama kwanza ni adimu, kama ni mkoani sawa lakini hata hivo 3M Itabidi achenge slope ambayo haitakua na tailizi wala plaster, atachapia kwa udongo Wa tope, chini sakafu ataweka NIRU , Milango ataranda huko mkoani, pesa yake itaishia kwenye bati nyeupe na mbao! MWISHO WA SIKU KIUFUNDI hilo LINAITWA BANDA!
Kuna tofauti kati ya kujenga Banda na kujenga Nyumba!! A house Must contains all requirements!
TATIZO KUBWA La watu Hawapendi kuambiwa Vitu vyote!
Mtu yupo tayari kuchukua cheap labour ambaye Hamwambi kazi zote!
Ndiyo maana Mafundi wengi sahivi ukimuita anakwambia bei za rejareja! ili kila steps utamlipa; mwisho Wa siku ukianza ujenzi unaelemewa na kusingizia Fundi Mwizi!
Kumbe kwasabu hukuambiwa ukweli kabla!
UJENZI SIO LELEMAMA,
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi

Good analysis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom