Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,605
Hata mi nataka kujenga nyumba simple tu nihamie nyumba za kupanga zimenifika kwenye kooMkuu, jenga nyumba iliyo na maisha marefu, siyo ile inayoyayuka kwenye mvua au inaokotwa na hewa huko Kigoma na kutupwa Mtwara.
Kama tayari kiwanja unayo, basi anza na msingi na jenga ukuta na paa. Mambo mengine unayamaliziya pole pole jinsi hela zinavyopatikana, na huku unahamia mle kuokoa kodi!
Sent using Jamii Forums mobile app