Mbona puvu sana bro?huo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi
Mkuu hili Kosa ni la kwako. na pole sana. hapo utaisoma nambaAnatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Kwa mujibu wa maelezo kadhaa.... Inasemekana anaishi maeneo ya kimara Dar.
Kama nilivyo toa angalizo kwamba zawadi ya 200,000 itatolewa kwa yeyote atakae toa informations zake na exactly location anayo patikana naomba ani PM.
Nimeambatanisha picha na machache niliyo yapata kuhusu mtu huyu.
Asanteni.View attachment 492396View attachment 492397View attachment 492398
Tena anaweza sema ile hela alimtumia alikuwa anamdai!Umeona ushimeni alivyofanya makosa... Huyu mtu akienda mahakamani Ushimen haponi...
Ulisha wahi kufanya transactions kutoka kwa bank accounts to sim bank?Ila umekosea kumwita MWIZI kwani wewe ndio Mwenye makosa hukua makini wakati wa kutuma pesa kwani yeye hajafanya biashara yeyote na wewe ameshangaa mzigo umeingia kwa nn asiende kutoa atumie wakati malaika kamshushia zigo la hela kwenye sim
Na inawezekana hiyo pesa yako sio ya halali ndio uliko itoa au inapokwenda
Mkuu.....Ni kosa kisheria kutumia pesa ambayo umeipokea kimakosa, sheria inakushurutisha kurudisha sehemu ilipotoka
Haya ndio madhara yaku comment uzi ikiwa hauja elewa ama pasipo kusoma mtiririko mzima wa maudhuiHata hivyo ww umefanya makosa ama kwa uzembe, kutojua au kwa bahati mbaya. Hukutakiwa kumpigia yeye, bali ulitakiwa kuwapigia customer care ya mtandao uliotumia kutuma pesa wangeblock na wangekurudishia hiyo hela. Usirudie kufanya makosa ya namna hiyo
Umefanikiwa mkuu!Huu ushauri ulinisaidia sana
Hakuna kilicho geuka mkuu, haya mambo hayataki ujuaji na ujanja ujanja.Hii kesi itakugeukia wewe... Na umejibehaave kama bashite kabisa.. Ushaidi wote unao...namba yake na eneo... Unakimbilia kuja muanika JF..
UNAWEZA UKAMPATA NDIO ....JE AKIKULIPA NA AKUGEUZIE KESI YA KUANIKA PRIVACY ZAKE UTAFANYAJE...
MAANA MPAKA SASA YE SI MWIZI...ILA WEWE CYBER CRIMINAL..
UMECHEMKA SANA BRO.