Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,775
- 90,089
Zaka ? Imesimama vip?
Zaka ni malipo ya hao makuhani ambao ni uzao wa Haruni.
So swali lwa kwanza kabla hujampa mtu zaka lazima umuulize yeye ni uzao wa haruni?
Zaka ? Imesimama vip?
Nashukuru sana Mkuu, Asante pia na umenitia moyo sana bila kuzingatia wanaonikatisha tamaa, Asante sanaimani yako ni kubwa na utabarikiwa kwa kutenda wema kwa wahitaji. nakutia moyo na usiiue hiyo kiu ulionayo ya kuwasaidia wahitaji. Na wakati mwingine mambo ya kile unachoamini ukiomba ushauri utapokea ukinzani utakaofifisha imani na kiu ulionayo sababu Mungu hakuweka kiu zinazofanana mioyoni mwetu ni vile tu hatuna hekima, huwa tunadhani kiu tulizonadho ni za muhimu kuliko kiu au desires alizonazo mtu mwingine. cha kuzingatia tu sababu unafanya kwa ajili ya Mungu mshirikishe Mungu pia kwa kuombea sadaka unazoziandaa na kutafuta maarifa ya namna tendo hili la kiimani liwe lenye baraka kwako na lisigeuke mwiba. Nia yako ni njema sana ila usipuuze mazingatio. Kuwa mwangalifu na kila la kheri. Umeniinspire.
Hii ni Kwa wayahudi!! Vipi? Kuhusu wakristo na waislamu
So wakristo na waislamu, wakisema wanakusanya zaka na fungu la kumi ni wanaiba? Au tusemaje? Chief
Katika uislma /ukristoNdio wanaiba. Hilo ndio jibu.
Wewe waulize Zaka ni nini?
Anapewa nani?
Zaka ni fungu la kumi la pato lako analopewa Kuhani.
Uliza kwenye ukristo na uislam Kuhani ni kina nani?
Katika uislma /ukristo
Zaka ni sadaka ya lazima ambayo kila muislam/mkristo mwenye uwezo anatakiwa kutoa Kwa maskini na wenye haja , ni kama kusafisha Mali Yako na kusaidia jamii Kwa wakati mmoja
Toa neno sadaka hapo, alaf niambie kama imeeleweka
Nakuelewa kama unafata maandiko ya kiyahudi zaid
Siku ukikua na kujua kuwa hao wapo kazini na wana network kubwa hautakaa kuwapa hata mia
Mda mwingine Inabidi uchukue maandiko na kuyatafsiri vizuri binafs YakoZaka msingi wake ni uyahudi.
Wakristo na waislam kupitia vitabu vyao vikuu having maelezo ya ziada kuhusu Zaka na nani apewe.
Wameiba dhana
Mda mwingine Inabidi uchukue maandiko na kuyatafsiri vizuri binafs Yako
Wamesoma vizuri tu kuwa zaka- ni lazima ambayo itakulazimu kama una kingi uwape waliokuwa na mahitaji maskini, so usi iweke iwe complicate kiasi icho , unajiona una zaid unajikwatua tu unaenda kuwapa maskini na wenye mahitaji, Mwisho wa siku hivyo vitabu havijashuka kutoka Kwa M/Mungu, Bali watu wamekopi maandiko somewhere so , usijibane sana lengo ni kuwainua wengine wasiojiweza