Nitamwambia Nini M/Mungu kesho mbele zake

Nitamwambia Nini M/Mungu kesho mbele zake

Kuguswa hakuhusiani na Mungu.
Ni suala la mtazamo na maslahi ya mtu husika.

Mfano; unapomwona Nyati akimsaidia Swala dhidi ya Simba, huo mguso wa Nyati unasababishwa na imani kwa Mungu?

Hapo ni suala la Maslahi
Shukran, tuendelee kutoa sadaka Kwa wenye mahitaji maalum
 
Msio amini M/Mungu habari zenu

Moja Kwa Moja kwenye sikitiko langu hili, msaada Kwa wenye mahitaji, walemavu wa aina mbali mbali

Yaani natoka hasubuhi nashindwa hata kuandaa hapo TSH 500 ya kutoa sadaka barabarani na isitoshe nyumbani nimeshaacha kibaba Cha unga na mboga mlo wa siku, na kwenye pochi nna pesa ya ziada, yaani nawapita tu wenye mahitaji barabarani bila hata kuwapa hata mia mbili au tatu , aisee roho imenikereketa sana Leo, mwaka nzima huu sijatoa hata mia Kwa wenye mahitaji barabarani wanaokaa na kuomba chochote , M/Mungu naomba msamaha wako

Kibaya zaidi nawaona na nawapita na kikubwa Zaid Wana visipika vya kutangaza kuomba msaada yaani nawasikia hata wakisimama Kwa mbali, roho inaniuma sana

Naomba niweke ahadi yangu hapa jf, Mwaka kabla haujaponduka huu nitafanya jambo Kwa walemavu na wenye mahitaji wanaoomba mabarabarani,🙏 panapo majaaliwa na nikiwa na uzima, kwanza nitaanza kuandaa hizi jero jero nitoe kila siku alaf nitandaa sadaka kaubwa zaidi Kwa akili Yao, amiiina

Kwani kanisani najipindaga natoaga sadaka kubwa tu, sisemi nakosea hapana ila natakiewa nitoe na Kwa Hawa wa barabarani kwani sijui kesho yangu au sijui kwenye mgongo wangu M/Mungu ameweka nn? Na sijui kesho Yao

Na hii Kwa wote wale kama Mimi tunaowapita walemavu na wenye mahitaji barabarani, tusiwapite tuwape chenji zilizobakia

Asante
Suala la kutoa hela lina mambo mengi ile uanze utoe mfukoni ,uweke mkononi alafu moyo uruhusu kuwa sasa hii hela sio yako ,ndugu ni jambo kubwa mno kikubwa tuombeane tu
 
Sadaka sio Wajibu.
Sadaka ni hiyari, mapenzi.
Sadaka sio lazima. Unaweza kutoa au usitoe.

Ni kama unavyosaidiwa. Sio lazima mtu akusaidie. Ni hiyari ya watu kukusaidia.

Huwezi hukumiwa kwa jambo ambalo ni hiyari yako
Andaa fungu la kumi
 
Fungu la kumi zama hizi unampa nani?
Kwa sababu ni wajibu lakini wakulipokea hayupo
Mtibeli nyingi ya post zako unasema upo Dar es salaam posta ,leo mwenzio niko hapa ,njoo hapa kwenye hili sanamu uniletee hata maji ya kunywa kaka jua ni kali .

Nimeamua kuyahesabu magari yanayopita kaka
Ukija mimi nitakujua hata usiulize sura yako ninayo kaka
 
Mkuu kwema.
Niko Huku Msewe. Huko nitapita jioni
 
So hakuna ma-kuhani zama hizi

Sifa kuu za Kuhani;
1. Lazima awe wa uzao wa Haruni
Kuhani alipaswa kuwa mzao wa Haruni, ambaye alikuwa ndugu wa Musa.
Walawi wengine waliweza kusaidia kazi za Hema la Kukutania, lakini hawakuwa makuhani.
(Kutoka 28:1; Hesabu 18:1-7)
iwe

2. Asiwe na ulemavu wa mwili
Kuhani aliyekuwa na ulemavu wa kudumu (kama upofu, ulemavu wa miguu au mikono, kibete, n.k.) hakuweza kutoa dhabihu madhabahuni, ingawa bado alihesabiwa kuwa kuhani.
(Walawi 21:16-23)

3. Awe mtakatifu na safi kiibada
Alitakiwa kujitakasa kutokana na unajisi wa kidini kabla ya kuhudumu.
Hakuweza kuhudumu akiwa najisi.
(Walawi 22:1-9)

4. Afuate sheria za ndoa na maadili
Kuhani hakuruhusiwa kuoa kahaba, mwanamke aliyechafuliwa, au mwanamke aliyeachwa.
Kuhani Mkuu alitakiwa kuoa bikira kutoka kwa watu wake.
(Walawi 21:7, 13-15)

5. Avae mavazi matakatifu yaliyowekwa na Mungu
Alipaswa kuvaa mavazi maalumu ya kikuhani wakati wa kuhudumu.
Kuhani Mkuu alikuwa na mavazi ya pekee, kama kifuko cha kifuani, efodi, na kilemba.
(Kutoka 28)

Huko kwenu unakotoa zaka kuna yeyote mwenye sifa hizo hapo juu?
 
So hakuna ma-kuhani zama hizi

Kulingana na Torati, kazi kuu za kuhani zilikuwa hizi:

1. Kutoa dhabihu kwa Mungu
Hii ndiyo ilikuwa kazi yao kuu. Walitoa sadaka za kuteketezwa, sadaka za dhambi, sadaka za amani, na sadaka nyingine kwa niaba ya watu.
(Walawi 1–7)

2. Kupatanisha watu na Mungu
Makuhani walifanya upatanisho kwa ajili ya dhambi za Waisraeli kupitia dhabihu. Siku ya Upatanisho, Kuhani Mkuu aliingia Patakatifu pa Patakatifu kwa ajili ya taifa zima.
(Walawi 16)
s

3. Kufundisha Sheria ya Mungu
Walikuwa walimu wa Torati. Waliwafundisha Waisraeli sheria na amri za Mungu.
(Walawi 10:10–11; Kumbukumbu la Torati 33:10)

4. Kutambua na kutangaza usafi au unajisi
Walichunguza magonjwa ya ngozi, unajisi wa kiibada, na kutangaza mtu kuwa safi au najisi kulingana na Torati.
(Walawi 13–15)

5. Kubariki watu kwa jina la Mungu
Makuhani walipewa jukumu la kuwabariki Waisraeli kwa jina la Bwana. Baraka maarufu ni hii:
"BWANA akubariki na kukulinda; BWANA akuangazie uso wake na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake na kukupa amani."
(Hesabu 6:22–27)

Hizo kazi uliwahi kuona mtu yeyote anazifanya huko uliko
 
Asante Mkuu nimekupata, vipi Kwa wakristo na waislamu, fungu lao la kumi ni sawa na wayahudi
 
Sifa kuu za Kuhani;
1. Lazima awe wa uzao wa Haruni
Kuhani alipaswa kuwa mzao wa Haruni, ambaye alikuwa ndugu wa Musa.
Walawi wengine waliweza kusaidia kazi za Hema la Kukutania, lakini hawakuwa makuhani.
(Kutoka 28:1; Hesabu 18:1-7)
iwe

2. Asiwe na ulemavu wa mwili
Kuhani aliyekuwa na ulemavu wa kudumu (kama upofu, ulemavu wa miguu au mikono, kibete, n.k.) hakuweza kutoa dhabihu madhabahuni, ingawa bado alihesabiwa kuwa kuhani.
(Walawi 21:16-23)

3. Awe mtakatifu na safi kiibada
Alitakiwa kujitakasa kutokana na unajisi wa kidini kabla ya kuhudumu.
Hakuweza kuhudumu akiwa najisi.
(Walawi 22:1-9)

4. Afuate sheria za ndoa na maadili
Kuhani hakuruhusiwa kuoa kahaba, mwanamke aliyechafuliwa, au mwanamke aliyeachwa.
Kuhani Mkuu alitakiwa kuoa bikira kutoka kwa watu wake.
(Walawi 21:7, 13-15)

5. Avae mavazi matakatifu yaliyowekwa na Mungu
Alipaswa kuvaa mavazi maalumu ya kikuhani wakati wa kuhudumu.
Kuhani Mkuu alikuwa na mavazi ya pekee, kama kifuko cha kifuani, efodi, na kilemba.
(Kutoka 28)

Huko kwenu unakotoa zaka kuna yeyote mwenye sifa hizo hapo juu?
Zaka ? Imesimama vip?
 
Asante Mkuu nimekupata, vipi Kwa wakristo na waislamu, fungu lao la kumi ni sawa na wayahudi

Wote wamelitoa huko. Wamewaiga wayahudi. Lakini wanafanya kwa mfumo wao wanaoujua na maelekezo ya miungu yao tofauti na yule wa wayahudi Yehova
 
Back
Top Bottom