Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Msimamie asb akupe mkojo wake kapime mwambie naomba mkojo wako nikapime blidi blidi mwongo huyo
 
Wewe huko ulipokua miezi yote 9 hujawahi kupiga nje? Au unamtafutia sababu tu? Usikute huko ulipokua umekamatika kwa nyumba ndogo sasa unataka kumuundia zengwe ili umpige chini..
Hapa umemuuliza swali zuri ...asimtaftie sababu mwenzie ili kuhalalisha dhambi yake huko alikokua
 
Nimekupata Mkuu,ila wapo wanawake waaminifu hata miaka miwili anavumilia tu,ukiona mkeo hawezi kuvumilia miezi mitatu ujue hata ukiwepo anagawa.
Huwezi kumuacha mke ambaye ni kijana kwa miaka miwili mfululizo halafu utegemee akae tu hivi hv pasi na kuingiliwa!! Mwanamke uwezo wake wa kuvumilia ni miezi 4 hadi 5 tu. Zaidi ya hapo alitokea mwamba mwingine akitikisa tu kidogo beki zinaachia.
 
Inawezekana usemayo ni ya kweli,ila ukweli zaidi wanaujua wenyewe
 
Hawa wanawake bhana hv viumbe ndo vinafanya wanaume wanaishi maisha mafupi sana, kaka, mzee, mtimue akakae na uyo aliempa mimba bhana

Unamwachia mji mwanamke nyumba ambayo umeijenga kwa pesa zako kwa kujinyima arafu awe anamleta umo uyo awala yake aiseee mtimue apo
 
Mimi ata baba angu akifa mama awezi kuleta awala nyumbani kwetu eti nikamkuta ndani ya nyumba aliyoijenga baba yangu weeeee wakamalizane uko uko sio kwa baba angu
 
Kwahiyo kutoa mimba sio dhambi/usaliti mkuu?
Ni usaliti sawa ...je wewe huko ulikokua kwa miezi iyo 9 hukuwahi kufanya usaliti?? Au ndio mtenda akitendewa ..... nyie wanaume mlivyo si wavumilivu
 
Nitaamini kipimo tu nasubiri amalize shughuli yake.
Mbona kesi ndogo, PT unatumia mkojo tuu hata kama ana bleed mkojo anapata ambao hauna hiyo bleed. Kanunue akupe mkojo tumbukiza kipimo. Ila usije zimia.
 
Nitakuwa natuma tu pesa za matumizi,kwasasa sihitaji kuoa ngoja nitulize akili kwanza panapo majaaliwa 2024 nitaoa.
Kwanini usimwondoe yeye na huyo mtoto wake ubaki na watoto wako ili kila mtu abebe msalaba wake yaani aende kwa huyo anayemtaka?
 
Kwanini usimwondoe yeye na huyo mtoto wake ubaki na watoto wako ili kila mtu abebe msalaba wake yaani aende kwa huyo anayemtaka?
Wanawake wengi hawapendi kulea watoto wa waume zao,hasa mama zao wakiwa hai,utaachana na wake lukuki.
 
Chai tu ka chai zako
Screenshot_20220930-170549.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom