Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Unataka kusema hakuna faida ya kujua unasalitiwa?
Ingekuwa unataka kujua kweli ,mpaka Sasa ungekuwa una majibu.

Kujua kusalitiwa kwa mara ya kwanza kunaumiza sana- believe me you won't be the same ukishagundua usaliti wa mkeo. Utateseka sana , pengine hutopona mpaka siku unakufa.

Siyo jambo zuri kabisa kujua ,japo binadamu tumejawa na udadisi

NB; simple tu ,nenda pharmacy nunua UPT-rudi nyumbani ingia naye chooni akojoe kwenye kopo au ndoo, tumbukiza kipimo,kitoe , subiria dk 2 itasoma mistari inayostahili, utakuwa umepata majibu yako
 
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.

Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.

Asanteni.

Wewe huko ulipokua miezi yote 9 hujawahi kupiga nje? Au unamtafutia sababu tu? Usikute huko ulipokua umekamatika kwa nyumba ndogo sasa unataka kumuundia zengwe ili umpige chini..
 
Hili nalo neno.
 
Af hawa jamaa wasilete utani.. jana yule wa safri ya singida dodoma kapotelea hewani.
Haya huyu mwingine kashapewa maelekezo ya kufanya na yeye kuna uwezekano akapotelea hewani bila kuja kutupa mrejesho kama mimba imo au la.
Ifike sehem mawazo yetu yaheshimiwe
We jamaa, mtoa mada, kama una hofu katoa mimba kuwa smart, ukileta kipimo hapo gheto mtaishia kugombana maana atashkilia kidedea kua humuamini. Kuwa mjanja, toka nje nenda hata ka maabara au zahanati ambacho mnafahamiana na staff hapo, mwambie wazi shida yako ya kumpima mimba. Kisha rudi home mbebe mwambie tunaenda hospital naumia unavoteseka. Akigoma mbebe mzobemzobe mpeleke, wakifika ataandikiwa kipimo cha mkojo af mwanao atakupa majibu nje ya kambi kama imo au haimo. Mkiwa pamoja mtapewa majibu ya uti sugu. After hapo majibu ya swali lako unayo.
Sasa tukushauri vyote hivi af usilete mrejesho, hakyanan tunakuundia zengwe
 
Unatakiwa uishi na mtu ukiamini kuwa na yeye ni binadamu na lazima atafanya makosa ya kukukera.
Ukiishi ukaamini mwenzangu hawezi fanya upuuzi ndo hapo unapanic.
Wenye mioyo midogo watafurukuta.
 
Ingekuwa unataka kujua kweli ,mpaka Sasa ungekuwa una majibu.

Kujua kusalitiwa kwa mara ya kwanza kunaumiza sana- believe me you won't be the same ukishagundua usaliti wa mkeo. Utateseka sana , pengine hutopona mpaka siku unakufa.

Siyo jambo zuri kabisa kujua ,japo binadamu tumejawa na udadisi

NB; simple tu ,nenda pharmacy nunua UPT-rudi nyumbani ingia naye chooni akojoe kwenye kopo au ndoo, tumbukiza kipimo,kitoe , subiria dk 2 itasoma mistari inayostahili, utakuwa umepata majibu yako
 
Af hawa jamaa wasilete utani.. jana yule wa safri ya singida dodoma kapotelea hewani.
Haya huyu mwingine kashapewa maelekezo ya kufanya na yeye kuna uwezekano akapotelea hewani bila kuja kutupa mrejesho kama mimba imo au la.
Ifike sehem mawazo yetu yaheshimiwe
We jamaa, mtoa mada, kama una hofu katoa mimba kuwa smart, ukileta kipimo hapo gheto mtaishia kugombana maana atashkilia kidedea kua humuamini. Kuwa mjanja, toka nje nenda hata ka maabara au zahanati ambacho mnafahamiana na staff hapo, mwambie wazi shida yako ya kumpima mimba. Kisha rudi home mbebe mwambie tunaenda hospital naumia unavoteseka. Akigoma mbebe mzobemzobe mpeleke, wakifika ataandikiwa kipimo cha mkojo af mwanao atakupa majibu nje ya kambi kama imo au haimo. Mkiwa pamoja mtapewa majibu ya uti sugu. After hapo majibu ya swali lako unayo.
Sasa tukushauri vyote hivi af usilete mrejesho, hakyanan tunakuundia zengwe
Unambebaje mzobemzobe? Yaani unamkokota kama mbuzi au? 😅😅😅
Aisee mie napiga kelele najigaragaza huko barabarani nakutia aibu utaniacha mwenyewe
 
kwamba mtu akitoka kutoa mimba anakua anablidi 🤔 acha ujinga
 
Utakua umeiondolea maana ya GRAET THINKERS katika kwenye JF tupo kwa ajili ya kusaidiana kimawazo
Ndiyo maana panaitwa kwa ma-Great thinkers.Unapaswa ufikirie deep,kwa muda mfupi bila kumshtua muomba ushauri.Zingatia hapo.Halafu unampa jibu lisilomletea madhara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom