Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Mjomba peleka yeye hospital kumsaidia hayo maumivu na hata msipoenda hospital na akawa ni kweli alitoa ni wazi hawajamsafisha vizuri na soon ataumwa zaidi.
Akiwaga kwenye siku zake huwa hapati maumivu ya tumbo?Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.


Duh hayaHapati.
Nimeshindwa nifikirie nini zaidi.Mbpna duu?
Hivi tangu jana hujachukua hatua yoyote mkuu?Kama ni hivi vya mkojo nitanunua tu madukani.
Umesafiri tena? Mpeleke hospBado anableed na nimeshaondoka nyumbani
Kauli hio inaashiria UBINGWA,,,,imekaa Kishujaa sana....Baada ya Mungu zinafuata pesa,siwezi kuacha kwenda kutafuta pesa kwa kuogopa kugongewa,kwasababu najua sio wake za watu wanaogongwa wamesafiri na kukaa muda mrefu huko wanakokwenda,halafu maumivu ya kugongewa kapuku na mwenye chochote kitu ni tofauti.