Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Af hawa jamaa wasilete utani.. jana yule wa safri ya singida dodoma kapotelea hewani.
Haya huyu mwingine kashapewa maelekezo ya kufanya na yeye kuna uwezekano akapotelea hewani bila kuja kutupa mrejesho kama mimba imo au la.
Ifike sehem mawazo yetu yaheshimiwe
We jamaa, mtoa mada, kama una hofu katoa mimba kuwa smart, ukileta kipimo hapo gheto mtaishia kugombana maana atashkilia kidedea kua humuamini. Kuwa mjanja, toka nje nenda hata ka maabara au zahanati ambacho mnafahamiana na staff hapo, mwambie wazi shida yako ya kumpima mimba. Kisha rudi home mbebe mwambie tunaenda hospital naumia unavoteseka. Akigoma mbebe mzobemzobe mpeleke, wakifika ataandikiwa kipimo cha mkojo af mwanao atakupa majibu nje ya kambi kama imo au haimo. Mkiwa pamoja mtapewa majibu ya uti sugu. After hapo majibu ya swali lako unayo.
Sasa tukushauri vyote hivi af usilete mrejesho, hakyanan tunakuundia zengwe
Yani umeongea vizuri sana "Case Closed" wakipewa ushauri hawarudigi kutuletea mrejesho.
 
Katika kitu sitaki kukosea ni hiyo ya kuoa single mother wanakuwaga vigeugeu kinoma unamkuta kachoka unajipinda anangaa fresh jamaa lina mrudia kumgonga tena na mimba unalea usipo sanukia mchongo
 
Kuna kutoa mimba na mimba kutoka bht mbaya elewa hvyo (miscarriage)
 
Nipo makini sana Mkuu,hata ikionekana alikuwa na mimba sitompiga hata kelbu moja,namwachia kibanda naondoka zangu ili aendelee kulea wanetu,tumejaaliwa watoto wawili Mkuu.

Unatafuta sababu
 
Kuumwa tumbo kwa maumivu makali ni kawaida kwenye hedhi.... Achana na Imani potofu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom