Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,144
- 7,932
Inachefua sana....kumbe ni demu Jan-uaryView attachment 2372763
Inachefua sana....kumbe ni demu Jan-uaryView attachment 2372763
Mkuuu nunua UPT Duka la DawaNilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.
Sikujua kama ana mimba mkuu,na siku zote huwa nafanya hivyo .Ungetaka kujua ukweli usingemtaarifu mapema. Ungemshtukiza tu unapikaribia kufika home ili kuondoa uwezekano wa umwagaji damu ila kwa sasa, kubali tu yaishe. Kipange upya Baharia.
Next time usimpe taarifa mapema maana anakuwa na nafasi nzuri ya kubadilisha hali yake.
Ebu fafanua kuhusu post #161 ya Msondomba. Maana naona inachafua huu uzi kabisa.Wewe kunywa tu.
Nyuzi za jf nyingi ni mazonge mara abadilike kuwa mwanamke🚮Ebu fafanua kuhusu post #161 ya Msondomba. Maana naona inachafua huu uzi kabisa.
Huyo ni wewe?
Hao watoto wawili mliojaaliwa ni wa nani?Nipo makini sana Mkuu,hata ikionekana alikuwa na mimba sitompiga hata kelbu moja,namwachia kibanda naondoka zangu ili aendelee kulea wanetu,tumejaaliwa watoto wawili Mkuu.
Tena ukute jamaa alikuwa anampenda mke wake hadi samaki anamtolea miba.mwisho wa siku imeliaKwa kuwa hukuwepo ilipoingia hiyo mimba huwezi kujua kilichotoka, kubali tu kuwa ni bleed.
Wanaume, Mungu awatie nguvu.

Rahisi tu mbona. Unamgundua kwa kumwona sasa hana mimba.Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.
NJIA NYINGINE MTOE NGUO ZOTE MLAZE KITANDANI CHALI VUTA STULI KAA PEMBENI MWANGALIE TUMBONI AKIWA AMELALA CHALI UCHI KAMA DK 10 BILA KUVUTA PUMZI. ATAAMKA NA KUKUOMBA MSAMAHA KUWA HATORUDIA TENA. UKIONA AMELALA TU BILA SHIDA UJUE HAKUWA NAYO.Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.
Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.
Asanteni.
Jamii forum inaumbuaNyuzi za jf nyingi ni mazonge mara abadilike kuwa mwanamke![]()
Pumbafu sanakumbe ni demu Jan-uaryView attachment 2372763