Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Kauli hio inaashiria UBINGWA,,,,imekaa Kishujaa sana....

PELEKA MKEO HOSPITAL,,,huko utapata majibu ya maswali yako....na kutokana na kauli zako hapo juu,,endapo utamkuta alikuwa na mimba basi nina imani kuwa unajua nini cha kufanya kama Mwanaume..

Be a Man..
Alikuwa nayo kweli Mkuu, mwenye mimba ni mzanzi mwenzie kazaa naye mtoto mmoja mimi nimezaa naye wawili.
 
Dah! hivi kuna kitu kinauma kama ukigundua umegongewa? hasa mke sio mpenzi hapana. Mke, yaani umelipia mahari na ndoa juu na watoto 😬😬😬 inauma kichizi tena ugundue hadi kapata mimba alafu akatoa yani dah! kama una roho nyepesi usichunguze bhana utaleta madhara, baada ya kugundua ni ngumu kufanya maamuzi positive.
Ungekuwa hujalipia mahari usingeumia?
 
Alikuwa nayo kweli Mkuu,mwenye mimba ni mzanzi mwenzie kazaa naye mtoto mmoja mimi nimezaa naye wawili.
POLE sana.

Vp sasa umeshafanya Maamuzi tayari kuhusu huyo aliyekuwa Mkeo,, au bado unahitaji ushauri wetu Mkuu...??
 
Dah! hivi kuna kitu kinauma kama ukigundua umegongewa? hasa mke sio mpenzi hapana. Mke, yaani umelipia mahari na ndoa juu na watoto inauma kichizi tena ugundue hadi kapata mimba alafu akatoa yani dah! kama una roho nyepesi usichunguze bhana utaleta madhara, baada ya kugundua ni ngumu kufanya maamuzi positive.
Nimeshachunguza na nimejua alikuwa na mimba na hata mwenye mimba kamtaja,hakuna nilichokifanya zaidi ya kumtakia kila la heri na kuondoka zangu,tukiambiwa tusioe masingle mother mpaka tuone makaburi ya wazazi wenzao huwa hatuelewi mpaka yatukute.
 
Labda mimba iliyotolewa kwa kumeza miso...lakini mimba ya kufanyiwa procedure sahihi (kusafishwa) wala hutoi hata tone la damu. Yani kwa mbaaali hasa.
Definitely ni Misoprostol/cytotek angefanyiwa Manual Vacuum Aspiration jamaa asingejua
 
Nimeshachunguza na nimejua alikuwa na mimba na hata mwenye mimba kamtaja,hakuna nilichokifanya zaidi ya kumtakia kila la heri na kuondoka zangu,tukiambiwa tusioe masingle mother mpaka tuone makaburi ya wazazi wenzao huwa hatuelewi mpaka yatukute.
Sasa huoni ushaaribu kaka mnaumiza watoto, watoto wanahitaji malezi ya wazazi wote wawili kama sio kujua hivyo isingetokea hayo.
 
Labda mimba iliyotolewa kwa kumeza miso...lakini mimba ya kufanyiwa procedure sahihi (kusafishwa) wala hutoi hata tone la damu. Yani kwa mbaaali hasa.
Nakubali mjuzi.... Fundi.
 
Sihitaji ushauri wowote kwa sasa nimeshafanya maamuzi,ila kama kuna mtu anahitaji ushauri kutoka kwangu mlango u wazi.
Tabia ya huyo mkeo ndo ilikuwa mbaya. Hakuna uhusiano wowote na her social group
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom