connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,775
- 3,842
Amepita bila kupingwa
Ni haki yako ya kikatiba itumie na hakuna wa kukuuliza, kama ambavyo mimi kwa mwaka huu sikusudii kabisa kupoteza muda wangu kwenda kupanga foleni eti napiga kura ambayo wala haihesabiwi wala kuheshimiwa. Kwenye uchaguzi wa mwaka huu, nikiwa hai na akili yangu timamu kwa jinsi mambo yalivyo mimi ni sawa na Prof. Assad (CAG mstaafu).Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Tanzania hakuna uchaguzi kuna usanii tu ,uchaguzi ulikuwq ngazi za vitongoji nako usanii umepafikiaOktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Sawa lakini ungeenda kuuliza kwanza gharama za kufanya dialysis pale muhimbili.Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Kasome ilani. Acha kukurupukaSawa lakini ungeenda kuuliza kwanza gharama za kufanya dialysis pale muhimbili.
Je walalahoi wanaweza kulipa?
upige, usipige CCM ni mshindiUtakuwa umepigia kura umasikini,ufisadi, utapeli na ujinga.
Unaumia ukiwa wapi?Sawa ni maamuzi yako
Siumii ndugu, ni maamuzi yako na haki yako kumchagua umtakayeUnaumia ukiwa wapi?
Utapiga kura vipi wakati ujafikisha umri wa kupiga kura?Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Witch doctorOktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.