PreGE2025 Nitampigia kura Rais Samia

PreGE2025 Nitampigia kura Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni haki yako,ila haki ya wengine iheshimiwe
 
Hagombei na uchaguzi haupo,

Utafanyaje sasa?
 
Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Kura hazihesabiwi ndugu yangu usipoteze muda matokeo yako tayari kwa usalama wa taifa !!. Mnapenda sana kujidanganya hata pale ambako ukweli upo wazi!! kwa tume hii na nyakati hizi unapoteza muda ni sawa na watoto kucheza baba na mama ni fake
 
Back
Top Bottom