SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,973
- 75,054
Ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura kwa uchaguzi ambao tayari matokeo yameshaandaliwa bado kutangazwa tu.
Ili amalize kuuza rasilimali za nchi na atumbukize nchi shimoni safii sana nenda katiki 😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Elewa kura yako haitakuwa na thamani yoyote ile.Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Uandishi kama huu unaondoa weledi wa Jukwaa hili. Tafuta maneno mengi yenye ushahidi useme Kwa nini unampgia Kura..Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Umerudia kosa unalonituhumu. Hujaainisha kwa nini Mimi nisimpigie Kura Mheshimiwa Dr Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Mwenyekiti wa Chama Tawala nchini Tanzania.Uandishi kama huu unaondoa weledi wa Jukwaa hili. Tafuta maneno mengi yenye ushahidi useme Kwa nini unampgia Kura..
Only two sentences & one paragraph are enough to cement your topic ?
Really, big no.
Form four yenyewe kumaliza ilikuwa mtihani itakuwa PhD?Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Lucas Mwashambwa
Lucas mwashamba
ChoiceVariable
Tlaatlaah
Chaguo la WatanzaniaChaguo letu halali