PreGE2025 Nitampigia kura Rais Samia

PreGE2025 Nitampigia kura Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata usipopiga atashinda 99.5%, unashindwaje uchaguzi kwa mfumo wa uchaguzi wa bongo ukiwa madarakani?
 
Kapige Kura
Kura my ass! Kila mtu ashinde mechi zake, utakula unapopeleka mboga! Nikapige kura wakati mna matokeo tayari? Watapiga familia ya mchwngerwa na chawa wa vitu maalum walipo dom walioteuliwa na jiwe
 
Back
Top Bottom