King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,769
- 3,266
Ni siri na moyo wako ndiyo vitendea kazi,,,Kwann iwe Siri yangu?
Ni siri na moyo wako ndiyo vitendea kazi,,,Kwann iwe Siri yangu?
Unamwambia nani sasaOktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Wewe na wananchi gani? Usitujumlishe wote. Mimi naenda kupiga kura. Wakijitoa Chadema sio shida zetu.Huo uchaguzi kama upo utakuwa wa CCM na tume yao ya uchaguzi, sisi wananchi tunaojielewa hatuna muda huo.
No reform no election.
CCM oyeeMimi sintompigia kur
Naam.Ukiona tu mgombea wa CCM we weka tiki,,,
Udokta wa kupewa, siyo wa kusomeaAna udokta gani kwanza? medical doctor?
Independent Electoral CommissionNo Reform no Election
Hongera sanaOktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mimi nitampigia Dr. Samia kura yangu...lkn kuhusu hao wagombea wengine wa ubunge kama wajumbe watawapitisha kwa figisu na rushwa sitawapigia kura yangu. Kwa hakika mama Samia nitampigia kuraOktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
KWA SABABU WAGOMBEA WENGINE NI PAKA AUPiga Kura kwa Mgombea wa CCM tu.
Kama wewe ni Mtanganyika utakuwa na mtindio wa ubongo.Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.