innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 750
Habari wakubwa pia na wadogo,
Japo sanaa huakika kama kuna wadogo humu namimi mpo poa sana.Tatizo langu wakuu ni kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa kunidhisha namimi nikajisikia kuwa nimefanya mapenzi nikaridhika.
Katika harakati za kupita pita nimeshakuwa na wadada watatu yani huyu niliye naye sasa ndiye watatu nimekuwa nikifanya naye mapenzi lakini haniridhishi lakini mimi namridhisha na pia nilioachana nao ndio hivyo hivyo walikuwa hawaniridhishi.
Huyu wa sasa ndio kabisa yani mimi nikiwa sijamwaga hata bao la kwanza yeye hoi haitajii hata ni mguse tena na hapo unakuta atujakurupuka unakuta tumeshikana shikana mpaka mwenzangu kalowa sehemu husika na yupo tayari ku sex.
Sasa wakuu sijui tatizo lipo wapii au kisaa nafanya mazoezi sana na kula vitu vya kutia mwili nguvu mpaka nakuwa na nguvu kiasii hichi, ukweli wakuu sihitaji kumsaliti mwenzangu coz nampenda sana na yeye namwambiaga ukweli kuwa aniridhishi na anasema nisijali. Ipo siku nitaridhika na sasa tupo naye mwaka lakini ndio hivyo wakubwa zangu.
Naombeni mnishauri chochote ilii nimwelekeze huyu mpenzi wangu afanye penginepo aweze kuniridhiisha.
Asante wakuu
Ushauri n boraa kuliko matuc na kebehii