Una miaka mingap? , innocentmollel. Kwasababu tatizo linaanzia hapo, Kuwa na wasichana watatu tu sio ndio unadhan hakuna msichana asiekuridhisha, sample space ni ndogo sana, ...tafuta wanawake 20 then uje utupe feedback
Kumpata wa kukuridhisha ni lazima ucheat, kwahiyo usiseme Kuwa hutak kucheat......
Imagine upo na Mtu wa uhakika, kila ukimtaka anakuja every night , ina maana Kila siku utapiga goli 5????, haiwezekan , ww nadhan ni kijana mdogo wa 20 years hiv , kupata Msichana ni shida kwako, kwasababu Huna hela , na ukizikusanya ni miez , na unakuta na nye.e pia umezikusanya, so kutoa hizo 5 ni uchu na wala sio nguvu Za kiume.......
Kwahiyo hao ulionao unafanya nao kavu?????
Nunua bamia upate ule utelezi utakusaidia
Wewe hautakujaga kuridhika mpaka kiama...
Wangapi niliona?umesomaa nilichokiandika vizuri mkuu?soma kabla ujachangiaa
Ushampata? Km bado njoo chemba (pm) tupange
labda ujalibu kupunguza maandalizi kabla ya kusex
Ondoa stress za kuridhishwa kuwa km unamiaka kumi wakati mnaingia chumban ondoa mawazo yote.