Nitampata wapi wakuniridhisha kimapenzi?

Asante, kwa uelewa wako ndani ya ulimwengu wa mapenzi kufikishwa au ili ufikishwe ulikua unahitaji ufanyiwe nini?sababau ni rahisi kwa mwanamme kufika kuliko mwanamke,au niseme bao ngapi labda ndio kidogo itakua afadhali ume karibia kufika ?

Bao angalau nn najisikia afadhalii kiukweli .ilaa ina kuwa bado
 
Ongeza Mwingine Wawe Wake Wawili Tena Ulale Nao Kitanda Kimoja Utaridhika Tu
 
Habari wakubwa pia na wadogo,

Japo sanaa huakika kama kuna wadogo humu namimi mpo poa sana.Tatizo langu wakuu ni kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa kunidhisha namimi nikajisikia kuwa nimefanya mapenzi nikaridhika.

Katika harakati za kupita pita nimeshakuwa na wadada watatu yani huyu niliye naye sasa ndiye watatu nimekuwa nikifanya naye mapenzi lakini haniridhishi lakini mimi namridhisha na pia nilioachana nao ndio hivyo hivyo walikuwa hawaniridhishi.

Huyu wa sasa ndio kabisa yani mimi nikiwa sijamwaga hata bao la kwanza yeye hoi haitajii hata ni mguse tena na hapo unakuta atujakurupuka unakuta tumeshikana shikana mpaka mwenzangu kalowa sehemu husika na yupo tayari ku sex.

Sasa wakuu sijui tatizo lipo wapii au kisaa nafanya mazoezi sana na kula vitu vya kutia mwili nguvu mpaka nakuwa na nguvu kiasii hichi, ukweli wakuu sihitaji kumsaliti mwenzangu coz nampenda sana na yeye namwambiaga ukweli kuwa aniridhishi na anasema nisijali. Ipo siku nitaridhika na sasa tupo naye mwaka lakini ndio hivyo wakubwa zangu.

Naombeni mnishauri chochote ilii nimwelekeze huyu mpenzi wangu afanye penginepo aweze kuniridhiisha.

Asante wakuu

Ushauri n boraa kuliko matuc na kebehii

uvumilivu ndio suala la msingi, piah we ulimpenda kimahusiano na sio papuchi kiaina ushauri wangu we tulia naye kwan mchumia juani ulia kivulini, ridhika
 
Mmmmmmhhhh bilaaa kuniridhishaaa ss kunaa mahusianoo gn hp mojaaa ya mapenzii nipamojaaa nakuridhishanaaa ww
 
Da napita tu kwel ukistajabu ya musa utayaona ya filaun so ucwe unamuandaa xana Hugo maji Mara moja
 
Habari wakubwa pia na wadogo,

Naombeni mnishauri chochote ilii nimwelekeze huyu mpenzi wangu afanye penginepo aweze kuniridhiisha.

Asante wakuu

Ushauri n boraa kuliko matuc na kebehii

Mamalao kijana anataka ushauri!

CC Madame B
 
Last edited by a moderator:
Habari wakubwa pia na wadogo,

Japo sanaa huakika kama kuna wadogo humu namimi mpo poa sana.Tatizo langu wakuu ni kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa kunidhisha namimi nikajisikia kuwa nimefanya mapenzi nikaridhika.

Katika harakati za kupita pita nimeshakuwa na wadada watatu yani huyu niliye naye sasa ndiye watatu nimekuwa nikifanya naye mapenzi lakini haniridhishi lakini mimi namridhisha na pia nilioachana nao ndio hivyo hivyo walikuwa hawaniridhishi.

Huyu wa sasa ndio kabisa yani mimi nikiwa sijamwaga hata bao la kwanza yeye hoi haitajii hata ni mguse tena na hapo unakuta atujakurupuka unakuta tumeshikana shikana mpaka mwenzangu kalowa sehemu husika na yupo tayari ku sex.

Sasa wakuu sijui tatizo lipo wapii au kisaa nafanya mazoezi sana na kula vitu vya kutia mwili nguvu mpaka nakuwa na nguvu kiasii hichi, ukweli wakuu sihitaji kumsaliti mwenzangu coz nampenda sana na yeye namwambiaga ukweli kuwa aniridhishi na anasema nisijali. Ipo siku nitaridhika na sasa tupo naye mwaka lakini ndio hivyo wakubwa zangu.

Naombeni mnishauri chochote ilii nimwelekeze huyu mpenzi wangu afanye penginepo aweze kuniridhiisha.

Asante wakuu

Ushauri n boraa kuliko matuc na kebehii

Nenda pale kona bar wako wengi sana, Tatizo lako litakwisha tu
 
Una miaka mingap? , innocentmollel. Kwasababu tatizo linaanzia hapo, Kuwa na wasichana watatu tu sio ndio unadhan hakuna msichana asiekuridhisha, sample space ni ndogo sana, ...tafuta wanawake 20 then uje utupe feedback
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom