Hujasikia ama?
Ni mshtuko tu...maana eti kidume nilikuwa najipanga nikutafute, sasa weye wataka kujipeleka kwa huyo asiyeridhika na wanawake
Hujasikia ama?
ni kawaida sn kwa umri mdogo subiri ukue na kukomaa ndio utafahamu vema MTAPISHANA wakati wewe sasa unaridhika kbs yeye bibie ndo atakuwa anahitaji zaidi especially mke wa umri kuanzia 35 +
Madhara ya punyeto na movie za ngono.
Subir ukope au uwe na majukumu utarizika tu..
Braza kwa sababu hutaki kumuacha, fuata ushauri huu utakusaidia sanaaa
Nenda kwenye godoro lako ukiwa na wembe mkononi. Katikati ya godoro, chonga duara la size ya mboo yako. Sasa cha kufanyanya siku hajakuridhisha, vaa ndomu yako vizuri kabisa (maana kuna magodoro mengine ya ukimwi), ingia mzigoni.
wanawake wana wivu sana, ataona godoro linafaidi sana. Hatajirekebisha.
Kama hutaki kumuacha, huu hapo juu ushauri utakusaidia sana.
Vumilia utaenda kuridhikia peponi!!!ya hapa duniani achana nayo!
......Aiseee!!. Hivi kule South Africa vurugu bado zinaendelea?
Kazi ya mwanaume ni kumridhisha mwanamke. Kama unawaridhisha basi ni budi kumshukuru MUNGU na kujipongeza, kwani wanaume now days ni vimeo.
Pili, nawe uwe na hisia za kufanya tendo; yaani mto...ne na si wewe ku...mba. Huyo mpz wako nawe awajibike...
Hii lugha ya kifacebook inachosha na kukera sana!!!!!..lazima we bado ni mtoto,subiri ukue...
Umeasilika kisaikologia anza leo kuamini unarizika na taratibu itakuwa hivyo.
Una miaka mingapi please? na hao wanawake zako nao age zao plz na wanakotoka, bila kusahau una weka akili yako kwenye hilo tendo la ndoa au akili inafikiria Jam barabarani na bei za bidha zilivyopanda....
Asante, kwa uelewa wako ndani ya ulimwengu wa mapenzi kufikishwa au ili ufikishwe ulikua unahitaji ufanyiwe nini?sababau ni rahisi kwa mwanamme kufika kuliko mwanamke,au niseme bao ngapi labda ndio kidogo itakua afadhali ume karibia kufika ?Miaka 26 wanawake n kuanzia 23 umri wao na akilii piaa huwa nawekaa kbs hapo na sifikiri chcht lkn ndio hvyoo