Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

huyu dada ni zuzu. namshauri akatafute kazi nyingine kama ukuu wa wilaya kupitia riz 1. siasa haiwezi.
 
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

sisi tutamhiyaji mnyika jimboni kwetu nyie chezeeni shilingi chooni tu.
 
hamna kitu pale,huko ndiko mimi napokuita kudharau kada ya ubunge,yaani kila anayeshughulika na siasa kidogo(si wote wanasiasa) anajiona anafaa kuongoza,shonza hamna kitu kichwani eti leo akashindane na mnyika.hizo ni dharau kuu kwa wana wa ubungo,labda arudi kwao mbozi.njaa mbaya sana
 
Hakumbuki kwamba hata CCM walimwonya Samwel Sitta kuhusu kuongea hovyo masuala ya chama nje ya vikao halali.Sasa yeye na mihemko yake alitaka akiwa CHADEMA ajizungumzie atakavyo kama kilabu cha pombe.Kuhusu kupambana na Mnyika asahau,kuna watu wamesota kukipigania CCM na jimbo muhimu kama Ubungo haiwezekani kumweka binti nyanya kama yule.Hajui anachokifanya na atajutia kudanganyika kirahisi huku akitaka mafanikio ya haraka!
 
Yaani naacha usingizi wangu naenda kumchagua huyu dada kha! hebu aulize wanaccm wenzake kwanza ndio aanze kuropoka.
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Anataka kuwa msemaji wa chama?! Akili yake hairuhusu hilo, sisi tunajua, yeye mwenyewe anajua pia uwezo wake ulipoishia! Na huko alikoenda ndio ajue akili zake amewapa wamshikie! Atasema anayoambiwa hata kama hayaamini!

Ngoja tuone kama CCM ndio matamko na maamuzi hayatolewi na viongozi wa juu wa chama!
 
Kweli leo nayaamin yale maneno ya Marehem DK REMY ONGALA,,
Kifo hakina huruma kabisa,kifo kimemchukua hadi shonza?
R.I.P SHONZA..
 
Hahahaha Juliana Shonza amevurugwa akavurugika. Anaanzia wapi kwanza hadi kushindana na Mnyika? Nategemea hii ndio platform yake ya mwisho kuongea na wanahabari kwakuwa baada ya hapo thamani yake itakuwa imekwisha. Kalale pema huko ccm bi shonza.
 
Last edited by a moderator:
Kweli haya ni maajabu ya karne!!
Mwezi uliopita alisema yeye bado ni makamu mwenyekiti wa Bavicha na akaahidi atahakikisha anamng'oa Heche, Wiki iliyopita akasema atagombea Uenyekiti wa Bavicha mwaka huu, Wiki hii kahamia CCM na anasema atamng'oa Mnyika Ubungo!!

She has poorer thinking capacity than brain fish or Cockroach head.
Soon she may undergo mad.
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
Huyu mdada analilia huruma tu. Eti amehamia kutoka cdm wakati ni kutoka kijiweni baada ya kufukuzwa cdm. Kwa kujipitisha mble ya jk anadhani kuna hakika kuwakilisha ccm jimbo la ubungo. ndugu zangu ccm huyo mdada ni bomu tu, msaliti hafai kundi lolote.
 
Ukishindwa kujitambua ni tatizo kubwa sana ndio kilichowapata mwapamba na shoza
 
Yani kila siku Bi. Shonza anazidi kujishushia heshima hapa Tanzania, hasa kwa kauli zake. Kauli zake ndio zilizoshusha heshima yake na kumtoa CHADEMA, na kauli zake hizo hizo ndizo zitakazoendelea kumpoteza kabisa kwenye siasa za Tanzania...!!
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

hapo kwenye red mnyika ukojuu sana
 
halafu na Nape naye analitaka, ngoja waanze kutifuana na Nape kwanza, au Ubungo inagawanya majimbo nini?

Nape analitaka sana lakini nasikia baada ya Mnyika kujijenga vilivyo Ubungo, Nape anatafuta Jimbo jingine.
 
Back
Top Bottom