Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

anatapatapa mbido huyoo!! Haaahaaaaa na mtapata kura 1 tu ccm ubungo pale!!!
 
Mkuu sina uhusiano na Nape na sijawahi kuonana nae ana kwa ana. My point was that CCM lazima watasimamisha mtu kugombea jimbo la Ubungo na mtu huyo kwa uhakika sio Juliana Shonza. kwa kuangalia wagombea wa CCM jimbo la ubungo ndoo nikaona walau Nape.

Nape mimi na wewe hatumkubali kwasababu tunatumia hoja kama kigezo kikuu ( Tunajiuliza who is Nape? Hivi amefanya nini chenye mashiko zaidi ya kelele zake zisizofuata protocally wala utofauti wa chama na serikali, ana nini cha kuonesha?

Msemaji tu lakini kuandika hataki zaidi ya hoja za paragraph moja hapa JF) lakini wapiga kura kaka, kuna wanaongalia sura, kuna wanaongalia dini, kuna wale undecided voters wanaotegemea tukio la mhimu just before the election. Ukitumia vigezo kama kigezo kupima wagombea kwa CCM ya leo jimbo la ubungo hakuna wa kugombea na Mnyika.

.......

Good Analysis, nachukizwa sana na hili kundi linaloitwa undecided voters cha kushangaza hili kundi hata Marekani lipo kazi kweli kweli binadamu sijui tuna matatizo gani!!

Mimi kura zangu 3 tayari ziko upande wa upinzani mwaka 2015 panapo uhai, CCM kamwe haiwezi kupata kura yangu over my dead body, unyama waliotufanyia na wanaoendelea kutufanyia imetosha.
 
CCM watakunaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii then watakupa viti maalum wakikuchoka wanakubwaga pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...ngoja wakuchambie tu na kina NEPI wakukamue then wakuache...akikukosa nepi, basi Nchimbi, akikukosa Nchimbi basi Mkulu hakuachi ng'o: alamba alamba tena, amm amh amh...
 
kumbe tatizo lako unataka ubunge kupitia jimbo la ubungo na MNYIKA amekuwa kikwazo kwani hutoweza kumshinda kwenye kura za maoni ndani ya chama basi tunakutakia kila lenye heri na huko wakupitishe ili ugombee ubunge jimbo la Ubungo na umshinde Mnyika. Je, huko nako usiposhinda kura za maoni pia utahama
 
Ata kama CCM watakupendekeza,but we subiri wapiga kura tu!!
 
Huyo Shonza anadhani ubunge ni sawa na kazi ya kuuza baa ndo maana anasema atamshinda Mnyika ubungo. Ingekuwa kazi ya kuuza baa ningekubaliana naye lakini hili la Ubunge anaondoka ndoto za mchana
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.
 
:ranger:Juliana Shonza ni kahaba wa siasa, na hizo ni njaa kali, mimi nilishakistukia hiki kischana kuwa kilitumwa na mafisadi, sasa kama huwajui magamba ndo hao na ukicheza utaishia kulambwa tu, we cheka cheka nao, Natangaza tena na tena ukiona hapa Tz ktk dhama hizi kijana anashabikia magamba a.k.a CCM ujue kuna utata mkubwa ndani ya kijana na maisha yake daima.:third:
 
hivi hawa jamaa wanafikiria kweli?
Wametawala Ubungo miaka karibu 50 na hawakufanya lolote la maana
sasa leo Mnyika kakamata miaka miwili tu wanataka alete mabadiliko gani waliyoshindwa miaka 50
fikirieni kwa kutumia kichwa nyie jamaa
mbona majimbo kibao ya maana kuliko ubungo mnaogopa hata kuyaongelea?
 
Huyo Shonza anadhani ubunge ni sawa na kazi ya kuuza baa ndo maana anasema atamshinda Mnyika ubungo. Ingekuwa kazi ya kuuza baa ningekubaliana naye lakini hili la Ubunge anaondoka ndoto za mchana
Ajaribu kinondoni, kuna akina Fyonza wengi, anaweza akapata.
 
apambane na Nape kwanza maana na yeye ameshatangaza nia ya kumng'oa Mnyika
 
Back
Top Bottom