Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Source:Tanzania Daima
ivi nyie wapofu wa kuelewa mnao sema mnyika hajafanya kitu mna akili za kifikiria nini??? Hivi hamoni kijana wawatu anavyo jitoa kutetea wananchi pamoja na yote yanampata pale bugeni au huwa hamfuatilii bunge? Unajua kuna wakati mtu anaongea kitu hadi unaanza kujiuliza hivi huyu kichwa chake kina ubongo au hakuna kitu, sasa inamana mnyika ana toa hela zake mfukoni ili aendeleze ubungo??? Au ulisha wahi siki amepewa hela amekula??mbona nashindwa kuwashangaa mijitu mingine jama naomba muwe mnafuatilia bunge ndo mje kulalama humu sio siri myika anajtahidi sana kueleza kero za waubungo bungen tena nahisi angekuwa anatoa pesa zake mfukon angefanya kwa gharama zake lakin ndo hivo anaendelea kuangaika huku mashetan ya ccm yanazd kumkandamiza. Ila tutafika tu.
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Source:Tanzania Daima
Maskini Juliana shoza ni ccm ipi itakayompa TIKETI ya kuwania ubunge kupitia ubungo,nazani hajui historia ya ccm ,angalia wenzako waliok waliokimbilia cccm kwa mbwembwe kama wewe wamebaki kama banzoka iyoisha utamu sasa wananata kwenye sori za viatu.pole sana bi dada.Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Source:Tanzania Daima
Anachojalibu dada kukifanya ni kutuhadaa tu,lakini bei yake ni ukuu wa wilaya tu!
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.
Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Juliana Shonza
aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa
kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya
viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika
(CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka
2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati
yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo
Source:Tanzania Daima
Mtoto akililia wembe mwache umkate!ID yake ni Juliana Shonza!TUKUTUKU; Umeona huyu anavyojaribu maji kama yatammeza ama eeee! Hivi hanaga ID humu jamvini?
Kwanza ni vizuri angejiuliza, CCM watampitisha awe mgombea wao wa Ubungo.
Jibu lipo wazi kabisa NEVER.
hiki kidemu kinaweweseka.
Mwache azione rangi zote za Dunia!Huu Ukuu wa wilaya atausikia TBC Nakaya mpaka leo yupo wapi? Eti CDM hakuna democracy