Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Kwa hiyo kalitaka mfumo jike? Kameshakuwa na akili kama Makinda. Eti wenye kauli ni viongozi wa juu, eeh! Shetani tokaaa
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa Chadema na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Duh!

Nadhani hapa alitekenywa na jamaa aliye piga picha naye ndio ile kushtuka maneno haya yakamtoka. Shy away Juliana!!!! Weee ngoja wakung'ang'anie kisawasawa halafu wakutupe kama c.....m ndiyo utajuwa kwamba umebugiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa taarifa yako dada Shoza, Mbuzi akisimamishwa na wewe Ubungo, mbuzi atashinda!!! Kwa nilivyokusoma tangu ulete tafrani Chadema, uwezo wako ni mdogo sana kufanya uchambuzi na zaidi sana uko kimaslahi na si kuwakomboa wanyonge wa nchi!!!
 
For sure hata wamagamba wenyewe hawawezi kumuachia agombee ubungo kwa tiketi ya lichama lao libovu libovu!
 
Hivi huyu dada kahamia CCM au amejiunga na CCM!! Si alifukuzwa yeye na Mwampamba? Ukifukuzwa chama kimoja na kwenda kingine, kwa hali halisi huko ni kujiunga na si kuhamia maana huna base/stake kule ulikotoka. Kwa hiyo CCM imepokea makapi/pumba??
 
njaa inakuwa nyingi mpaka unaibebea kiroba na hivi ni msichana siasa na maisha yakishamshinda ataishia kulamba dushelele tu kwenye magamba.
 
Ni haka kabinti kalichojikunyata kwenye kwapa la JK ndo kanataka kapambane na Mnyika aliyepata kura nyingi kuliko wabunge wote??
hakika hili ni tusi kwa wakazi wa ubungo.

8E9U8493.jpg
 
Mwache akakumbane na rushwa ya ccm wenyewe kwa wenyewe wakati wa kupitishwa mgombea wa ubunge ndo atajuta, amuulize nape kilichotokea mpaka akatishia kuamia CDM.....Uyu binti ni mropokaji sana, nakumbuka alivyoenda kumpinga mwenyekiti wake kwenye vyombo vya habari, na ktk kashfa ya masalia badala ajibu hoja zilizokuwa zimeandikwa akaanza kuwashambulia uongozo wa kitaifa..mw/kiti na katibu
 
hahaha...Shonza kweli ashafyonzwa!yani anaota ubunge wa Ubungo?inaonekana haijui vizuri ccm na Ubungo, asubir wiki ipite ndo aanze kuropoka.
 
huyu shosti asubiri kumegwa na wakubwa tu...hapo wanampangia ratiba..sijui ataanza komba au mwigulu..
 
Binti kajivua GWANDA kajivika GAMBA ambalo limembana na kuanza kuropoka mapema
 
Teh!! Hivi kweli huyu mwanamke anafananisha uwezo wake na wa kamanda Mnyika? Yani hapa ni sawa na kufananisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu. Huku ni kutapatapa tu, na shangaa hicho chama chake akijamchukulia hatua kwa kuanza kutangaza anautaka ubunge kabla ya wakati, maana Mangula alisema watawashughulikia watu wote wanatafuta uongozi kabla ya wakati.
 
Kwani Nape naye si Ubungo??

Jullie "Kura Za Maoni CCM" ni zaidi ya Ubunge wa jimbo. Kwani uko kambi gani?? Au umewekeza pesa kiasi gani???
 
tunamsubiri...............very simple we will show her the reality
 
Ni haka kabinti kalichojikunyata kwenye kwapa la JK ndo kanataka kapambane na Mnyika aliyepata kura nyingi kuliko wabunge wote??
hakika hili ni tusi kwa wakazi wa ubungo.

8E9U8493.jpg

Ukiitazama vyema hii picha utagundua wote hapo kwenye hii picha wamepoteza muelekeo.
 
Back
Top Bottom