lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
Lengo la kupaka VLC sio kukukomoa Bali Ni kukusatarehesha zaidi na zaidi.Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?
Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha,.
Muda ninaoupenda angalau dk30
Jamani am grateful mkuu😍


