Kama umekula hela zake hauko kwenye position ya kuchagua atatumia nini kwenye mapambano kuwa mpole mpaka atapomaliza ni hayo tu....Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?
Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha,.
Muda ninaoupenda angalau dk30
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

