[emoji51][emoji51]Ndo ushukuru sasa umeona tabia yake halisi bado mkiwa kwenye hatua za awali, imagine ndo mngekuwa ndoani tayari afu ndo akakutelekeza. Ubaya wa mtu usikufanye ukabadili "utu" wako mwema. There's no reward for being a bad person. Ukitenda baya, kwa kuamua tu au hata kwa kulipiza, jua tu ubaya huu utakurudia wewe au kizazi chako mara 10 zaidi. Just give this word some +ve energy. Haijalishi watu wabaya ni wangapi, wewe amua tu kuwa mwema. Wema hauozi, afu si kila mtu anaweza mtendea mwingine mabaya na akaishi kwa amani tu. Wengine kila siku unakuwa unajihukumu nafsini mwako; so just be a good person
Pole kwa changamoto za maisha ndugu
Ukweli ni kwamba mtu anaekujali na kukuthamini utamfahamu pale unapopata changamoto katika maisha
Umri na malezi pia ni tatizo;kama mtu anaweka picha yake humu,maana yake hajitambui.We acha kumquote huyu mjinga. Naona kaukomalia kweli huu uzi.. Comment zake haeleweki kabisa anasimamia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Season tena, wengne tunaish bara la Atlantic!!ALIKUPENDA KWA KUWA UNA MASLAHI FULANI, KWA KUWA MASLAHI ANAYOYATAKA HAYAPO ANASEPA TU. USIJIRAHISISHE SANA BI DADA, ULIMWENGU WA SASA UONGO NI SILAHA MUHIMU SANA KATIKA MAHUSIANO. KAANGALIE SERIES YA "A MAN CALLED GOD" MUONE PETER PAN ANAVYOMPENDA VIVIAN LICHA YA KWAMBA ALIMSALITI LAKINI NA YULE MWANDISHI WA HABARI, LAKINI ALIMTUMIA BINTI WA TAJIRI AMBAYE BABA YAKE NI ADUI YAKE NAMBA 1 LICHA YA KWAMBA BINTI ALIKUWA CHIZI MAPENZI. SHIDA ILIKUWA NI KUPATA ANACHOKITAKA KUPITIA MTOTO WA ADUI YAKE!
UMEKUTANA NA PETER PAN AU MICHAEL KING
Umri na malezi pia ni tatizo;kama mtu anaweka picha yake humu,maana yake hajitambui.
Ndo ushukuru sasa umeona tabia yake halisi bado mkiwa kwenye hatua za awali, imagine ndo mngekuwa ndoani tayari afu ndo akakutelekeza. Ubaya wa mtu usikufanye ukabadili "utu" wako mwema. There's no reward for being a bad person. Ukitenda baya, kwa kuamua tu au hata kwa kulipiza, jua tu ubaya huu utakurudia wewe au kizazi chako mara 10 zaidi. Just give this word some +ve energy. Haijalishi watu wabaya ni wangapi, wewe amua tu kuwa mwema. Wema hauozi, afu si kila mtu anaweza mtendea mwingine mabaya na akaishi kwa amani tu. Wengine kila siku unakuwa unajihukumu nafsini mwako; so just be a good person
ha ha ha ha haMi kanichosha aisee.. Maana anajibu mpaka comment walizotakiwa kujibu wengine
Mwisho mtakuja kudhani ni id yangu nyingine[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana ila si tunayaona, me sitaki kuwa ktk mahusiano kwa sasa, kulia lia saiz nipumzike kwanza
Ndo hivomkuudah aiseh kumbe wengine tunaponzwa na makosa ya wengine #pole sana
wee si ndo umeomba radh kwa dada wa watu ama!!?Hahaha
Watu mnajua kuparamia comment humu bila hata kufikiri
espy njoo ujibu huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama chura ipo njoo kwangu nitakupenda kwa shida na rahaa!
Pole sana... Hautakuwa na kosa nawe ukimuacha akiwa na tatizo...
Pia hebu acha kuangalia hayo ya nyuma, yanakupotezea muda... Tafuta njia upite maisha yaendelee...
Sent using Jamii Forums mobile app
yani ni hatari sana
Kwahiyo umeachwa tena? Dah! Njoo kwangu babu yako.... tutadedi pamoja wallahIkiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuu#notedNdo hivomkuu
Jitahidi kukaa na mwenza na umuulize aliyopitia nyuma.then mpe ushauri yasije kukukuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifikilia maumivu ya matatizo uliyonayo + mtu unayempenda anakuzingua aise
Sent using Jamii Forums mobile app
unachosema ni kwel ila tambua mtoa uzi amezungumzia matatizo ya wana mahusiano me huenda kwa umri wang mdogo huonda sijaona neno ndug jaman.. embu naomba unionyeshe lilipo..[emoji120][emoji120]Umri wako mdogo hujui maisha