Ndug wameingia vp ktk huu uzi. Jitathimin vzr kisha jenga hoja..Inategemea,ila mapenzi ni ya watu wawili na hayatakiwi kushirikisha wazazi,rafiki, wala ndugu,nyie wawili mtakavyoamua kuendesha mahusiano yenu hadi kuwa mme na mke inakuwa sawa.Tofauti itatokea pale kama kuna upande ulikuwa unaigiza kupenda,na pia kukiwa na ushindani lazima upande mmoja uumie.
Wapo wenye upendo wa dhati,
Unaambiwa 'love when you are ready not when you are alone '
kwan alie sema ndoa ndo kigezo cha kutotengana nani!!?Mi huwa nawahurumia wanaojikuta wameingia kwenye ndoa na watu wa aina hii..
Kitu kidogo tu anakuacha
hawawexi kuvumilia changamoto za mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashum kama unatoa mifano ili tukusome, na si uzungumze uhalisia, make matatizo yapo kibao hata la kujikojolea kitandan nalo ni tatizo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wako mdogo hujui maisha
You are rightnikikumbuka jinsi nilivo umizwa na mapenz arafu mnajisemesha eti kuna mapenzi ya kweli yani mnanichefuaa mm..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa ulilifanya pale ulipoamini uwezo wa mali na fedha ndio msingi wa mapenzi yenu, mara nyingi naona wanawake ndo wanawaacha wanaume kisa financial problem hii ya kwako ni kiwanda kingineHapana. Namaanisha changamoto za kimaisha
Hebu tufanye mfano una mpenzi lakini ghafla unapafa ajali inayopelekea wewe kusindwa kufana yale ya kawaida na kudondoka financially
Then yeye anaamua kukuacha sababu a hiyo hali unayopitia..
Sent using Jamii Forums mobile app
What’s the matter Conchita? Someone dumped you or something?
Cjakusomainategemea ntu n.a. ntu.je yeye akiwa n.a. shida unazipa kipaumbele shida zake?au wewe tu ndio unataka upewe kipaumbele.. kama ipo kinyume achana nae sio fungu lako.shida ni kusaidiana n.a. ni two way trafic...sharp
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wako mdogo hujui maisha
HaswaaaaEengi wanasema nakosea.
Kama mimi nashindwa kuvumiliwa kwa changamoto ndogo.. Mi ndo nianze kujivika mizigo yao ilhali nlionekana mav*
Kidini sio sawa.. Lakini kidunia ni sawa. Shida zangu zinanitosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eee!!?dah aiseh kumbe wengine tunaponzwa na makosa ya wengine #pole sana