Habar zenu banaaaa
Hii habari ya kufika au kutofika kileleni bana inategemea na mambo mengi
Asilimia zaidi ya 70 ya wanawake hawajawahi kufika na wala hawajui hicho ni kitu gani
lakini pia kwa mwanaume unaweza kumtune/kumtrain mwanamke ambaye 'amekuwa sugu' kutofika kileleni kutokana na mawazo potofu na akafika kama kawaida..wengi huwa hawajui umuhimu wa kuorgasm
jengine, hata orgasm yenyewe hutofautiana intensity kutegemea ni ya wapi na the 'build up' to that...ndo maana huwa inashauriwa kuwe na thorough foreplay ili kujenga mazingira
Nikija kwenye ile kuwa utajuaje.....well hii inategemea sana na UZOEFU wwenu wawili....mwanaume hawezi KUFEKI (tulishalijadili hili) lakini mwanamke anaweza kufake kama mwanaume sio mzoefu, ila kwa wazoefu kama members wa ISC huwezi kuwadanganya.....not least the chairman. Kinatokea nini hasa ndo kama alivosema mlimbwende Rose80....na niseme tu kwamba kama mwanamke kafika KWELI ni lazima ujue....halifichiki jembe la ng'ombe....
Orait