Nitajuaje kama mpenzi wangu amefika kileleni (orgasm)?

aaah...mamaa mwenyewe mama BIG...hakuna mwengine......hebu toka huko ulipo haraka urudi bana tumeshakumiss......:hug:

Mwenyekiti asante nifikishie salamu zangu kwa GY, Big, Kimey, RR na wengine usimsahau barafu wa moyo The Finest dig dig anayelinda simba jike
 
halafu wewe....:tape::tape:

Mwenyekiti Heshima mbele baada ya hapo naomba kusema kuwa tokea umeondoka nidhamu ya chama inazidi kushuka makabaila na mabepari wanazidi kujilimbikizia mali huku wanachama wengine wakilalamika maisha wanayoishi, kuna wafadhili wengine wamekuwa wagumu kutoa peas kisa watu wamepelekwa airport bila taarifa yake, wengine wamekuwa madreva teksi bila idhini ya chama
 
ANGALIZO
Finest dear,kabla ya kutoa malalamiko chunguza kwanza uongozi kuanzia juu.Inawezekana ukashtaki kwa muhusika ikawa kama kesi za EPA
 
Mwenyekiti asante nifikishie salamu zangu kwa GY, Big, Kimey, RR na wengine usimsahau barafu wa moyo The Finest dig dig anayelinda simba jike

CHANGU CHAKO, CHAKO CHANGU, CHETU CHETU WOTE
:hug::kiss::A S-rose::kiss:
 
ANGALIZO
Finest dear,kabla ya kutoa malalamiko chunguza kwanza uongozi kuanzia juu.Inawezekana ukashtaki kwa muhusika ikawa kama kesi za EPA

Kweli isije ikawa Mwenyekiti naye kapewa chake nikakuta nalalamika bure tu
 
Mwenyekiti asante nifikishie salamu zangu kwa GY, Big, Kimey, RR na wengine usimsahau barafu wa moyo The Finest dig dig anayelinda simba jike
kamata hii hapa chini kwa afya yako mamaa kubwa
The Following User Says Thank You to Mama Big For This Useful Post:

Kimey (Today)
 
Back
Top Bottom