Nitajuaje kama mpenzi wangu amefika kileleni (orgasm)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitajuaje kama mpenzi wangu amefika kileleni (orgasm)?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mama Big, Nov 9, 2010.

 1. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wanaJF mwenzenu nimeulizwa swali kuwa atajuaje kama mpenzi wake amefika kileleni (orgasm)? na afanye nini ili mpenzi wake afike? Mama kubwa nikaona ni busara kuwauliza wenzangu ili tuchange mawazo na tumsaidie mwenzetu...
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ni vizuri kumuuliza muhusika mkiwa katika tendo! kama mmeweza kuvuana nguo sidhani kama kuulizana hili swali mtaoneana aibu
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  nyie ndio wadau wakuu wa kufikishwa kileleni sasa mngetuambia inakuwaje na tuangalie dalili gani kuwa uko njiani au tayari umekamilisha
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahha mama bg nambie shost?salama?
  unaweza kujua ..kwa mwanaume utaona anakukumbatia mbaaambambamba basi apo ujue yupo klmanjaro
  -wengne macho yao yanageuka km anadegedege vle+anapiga makelele
  -wengne wanazimia kabsa-
  -wengne wanasema nimefika....
  KWA MWANAMKE;
  Anakuwa yupo fit tu ..nguvu km za matumla znamjia akifika kileleni(hapigi kelele waloa halegei sana)
   
 5. d

  diana98 Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utamsikia akisema ishiiiiiiiii mamamama kakaka aii mhhhhhhh huku akitwanga kwa kasi kama aliku ana baasi atalegezaaa
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Darling mzima wewe nafikiri mimi hapa sihitaji kujibu hili swali maana mimi na wewe tunajua kila mmoja akifika kileleni huwa inakuwaje tukiwa kwenye uwanja, siri yetu mama.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hapo unaweza kutoka ndukii ukijua mtu ameishakata roho:smile-big::smile-big:
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  heheeeeeeeeeeeee heeeeeeeeeeee halooooo halooooooo bigrita upo?
  mweee yan aka kadig dig kamekupiku namna i?et wanajuana wenyewe wakifiaka kilelen wanakuwaje?
  ahh bgrita unakubali kadhia hii??mmh pole
  TEAMO NAJUA AKIFIKA KILELEN MDOMO ANAACHA WAZI KM SAMAK ALIYEKUFA KWA KUKOSA MAJI
  roy akifika analia km mtoto anaogopa kuchomwa sindano
  bgrita akifika kilelen anapiga miruzi kwa fujo yan km ametoka pale kichakan alipopak gari wakat anaenda rombo ili afanye kazindiko kidogo........:smile-big:!!!!!!
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  unammwagia maji anaznduka fasta!!!!!!!!
   
 10. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Tafute mashehe amabao huwa wanafungisha ndoa za mkeka watakupa majibu sahihi kwani wakati wa organism mwanaume huwa hawezi hata kunyanyuka na huwa anakatika mawasiliano na anakuwa kama ****
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :tape::tape::tape::tape: Huyu wa kupaki gari kichakani iko siku biolojia yake itakuja igongwe kichwa na nyoka sijui itakuwaje
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  unataka kusema nini kuhusu experience yako kwa ufupi? hahahahahaaa!!
  Develop hii list, then tutafanya kalkulesheni kuestimate idadi na possible occurrence.
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Unamwagia maji karibia ndoo nzima mtu azindukii iliishawahi kumkuta jamaa yangu wee mbona alikoma kila alipokuwa akifikiria kwenda game na mamsapu lazima afanye maamuzi ya muda mrefu
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Naomba na mimi niingie katika hiyo listi!!:A S-rose:
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Utanifahamisha nikiwa nasafiri kile kichaka ulichoingia na kupaki gari kusudi na mimi nikifika pale i do the same
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kulinda maslahi ya bg bana.
  haka kadig dig kanasumbua sana. ninawasiwasi usumbufu huu unaweza kupelekea mama kuba ikaamua kukaachia njia.:nono::nono::nono: siku nikijua ndo itakuwa:rip::rip: ya dig dig
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahhaahah kuwa mjasiri km roy
  et dig dig wapo kwa kukamilisha pori lakin awana madhara yeyote....
  dig dig ni dig dg hana madhara wewe ni simba thats ol!!!!
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  umbali wa safari uta-determine wingi wa vichaka. kama unaenda Bukoba, basi ujue rule ni after every 350km...........unaanza kuangalia kushoto na kulia, then chap! chap!
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pakamweusi akifika kileleni anainua mkia wake juuu na kilio cha nyauu nyauuuuuuuuuu kwa fujo yan dzain inabd ufungulie radio mpk mwsho bila ivo unaweza ambia umebaka mtoto!!!!
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :boink::boink:Ngoja nijilinde mapema Askofu yuko wapi nataka nipite Sacristia nichukue maji ya baraka nichukue na misale ya waumini niingie chapel :pray::pray::pray::pray:
   
Loading...