Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

kwa Mfano nimekuagiza kitu nilikua serious kabisa,kilipofika ikatokea nikapata shida au tatizo Je kile kitu kilichoagizwa naweza kukilipia nusu nusu yani kidogo kidogo kikiendelea kubaki hapo hapo kwenu mpaka nitakapomaliza deni ndipo mnanikabidhi?
 
inawezekana
 
Wote mliopokea mizigo yenu mkiwa Dar au Mkoani tunashukuru sana kwakutuungisha Mungu awaongezee, na wele waliokimbia mizigo yao pia tuko pamoja sana.

Naomba Testimonial kama umepata changamoto njoo utumbie ilikuwaje ili tuweze kuboresha jukwaa letu la uagizaji wa bidhaa kwanjia ya matandao , then utapata zawadi ya free trial ya membership ya mwezi utaweza ku access platforms zote bila kikomo, unaweza kutengeneza pesa kupitia hii membership, utaweza kupata access ya bidhaa amabazo ziko donated na sellers nakuchukua bure bila kulipia, kifurushi cha membship kitakupa faida kubwa sana .
Nomba hizo zawadi mkuu ,niliagiza generator kwenu mwaka 2018 hadi leo linadunda nadadilisha oil filters na Engine oil tu.
 
Back
Top Bottom