Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jonsonjohn

JF-Expert Member
Nov 19, 2019
286
329
Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa Tanzania unaweza kupost bidhaa zako na kuuza kupita kwenye website yetu.

Tuambie bidhaa gani unataka tukuagizie au chagua bidhaa zilizoko kwenye website Digxam Forums jisajili kisha Subscribe topics zote ili wauzaji waki post bidhaa utapata ujumbe kwenye email yako kama kujua tarehe ya meli Container linaondoka lini Japana litafika lini Tanzania pia kuna bdhaa balimbali tunatoa zawadi kwa wateja wetu wa muda mrefu.

Pia kuna Mianada ya Moja kwa moja unaweza kununua bidhaa zako kwanjia ya mnada na ukapokea mzigo wako popote ulipo nchini bila usumbu, kushiriki minada bonyeza hapo Digxam – Buy and Sale site kisha jisajili baada ya usajili kukamilika vumilia kidogo admin atafa approve inaweza kuchuku siku nzima kisha utaweza ku bid au kupost bidhaa zako kwenye Digxam Forums

Kwa Hapa Japana kuna tuna Magari mengi sana pamoja na Spare parts za magari ukitaka body viti milango Engine gearbox half cute utapa.

Kama unafanya biashara za Spare za Magari tutakupa mzigo wa jumla kwa bei nafuu sana tunakuchanganyia spare mchanganyika zinazotoka haraka sokoni.

Pia kama unashule unataka School buses pia tutakupa Discount kwa mwaka kulingana na idadi ya magari utakayo nunua kwetu.

Ukinunua Gari kwetu gharama ni nafuu kwasabu tunapakia baadhi ya magari kwanjia ya container hivyo basi tuambie gari gani unataka tukupe bei.

Ukiagiza gari kutoka kwetu pia tutakupa Engine oil, Gearbox oil na oil filter ya kufanyia service mala tatu bure iliotengezwa na kampuni ya Gari usika.

Pia tunapoakea order za bidhaa mbalimbali nakuzifanyia kazi kwamuda wote mnakaribishwa.

1. Pikipiki za aina zote,
2. Mgari ya kutaka vipuli
3. Laptop
4. Desktop
5. Simu
6. Camera Lens
7. Vifaa vya kilimo trekita Pawatira Green House
8. Vifaa vya maofisini kama printer Meza nk
9. Vifaa vya matumizi ya nyumbani Mafriji Mashine za kufulia nguo Majiko
ya Ges nk
10. Vifaa vya ujenzi wa barabara na miradi mbali mbali kama Rolla Graders
Excavators
11. Magari
12. Vipuli
13. Mashine za kushona nguo za Juki Brother Singer Mitsubishi Toyota
14. Vifaa vya Gereji Mashine za kubadilisha Matairi Jeck za kunyanyua magari
Compressor
15. Majenereta
16. Saa za mkononi
17. Work stations
18. Music kama Vinanda , DVD, amplifier
19. Mabegi ya Mtumba
20. Vifaa vya mahospitalini
21. Vifaa vya uvuvi ziwani na baharini Boat Engine za Boat Meli
22. Nanyingine nyingi

WALE WANAOTAKA KUANZA BIASHARA
kuna Biashara nyingi unaweza kuanzisha kwamitaji ya kawaida sanaa nfano
  1. Baiskeli za mtumba,
  2. Friji za mtumba,
  3. Vifaa vya Kilimo,
  4. Lathe machine mambo ya kuchonga vyuma na bawaba za magete na kuchonga vyuma
  5. Spare za magari,
  6. Gereji nipamoja na kunyoosha body za Magari na kufanya Matengezo
  7. Ujenzi ukandalasi wabarabara na majengo
  8. Kufungua goli la kuziba pancha na kubadisha matairi
  9. Car wash
  10. Service kumwaga oil filter nk
  11. Kuangalia matatizo ya Magari kwakutumia mifumo ya kisasa ya computer
WAUZAJI WA MAGARI
Kama wewe ni muzaji ukiagaiza gari moja au Magari kuanzia mawili kwendelea tutakupatia Magari mazuri na punguzo la bei ukilinganisha na Makampuni yote yanauza Magari bei zetu zitakuwa chini sana kabala ya kusafirisha tunafanya mambo yafutayo,
1. tunalibadilisha matairi tunakufungia mapya
2.Rims kali
3.Service ya oil na Gearbox
4. Tunakupa oil kwajili ya Service zinazofata
5.Nazawadi kibao.

Magari na mizigo yote tunasafirisha kwanjia ya Container ili kupunguza makali ya bei jisajili kisha tuambie wazolako kwamaelezo zaidi bonyeza Hapa kisha jisajili tupe maoni yako.

Kwa maelezo zaidi tutembele kwenye ofisi zetu zilizoko Ilala Mtaa wa Lindi na Iringa. Au piga simu ya kiganjani whatspp pia 0712 7082 45 au +81-802-0717-421

Ukisoma tangazo hili Share na wenzako Taarifa hizi, ukipokea mzigo wako toa maoni yako utusaidie kuboresha huduma zetu.

1668696737435.png
1668696953680.png
1668696863237.png

Unaweza kutembele www.digxam.site

Update

Taarifa kwa wateja wetu wote tungependa kuwataafiri kwamba kwasasa Digxam itakunganisha na wauzaji wa bidhaa mbalimbali wakiwa sehemu mbalimbalia kwenye nchi zifuatazo:
  1. JAPAN
  2. SOUTH AFRICA
  3. DUBAI
  4. USA
  5. UK
  6. CHINA
  7. TURKEY
  8. Majukumu yetu ni matatu tu kuhakikisha tunasimamia zoezi zima la manunuzi,kusafirisha na ku delivery mizigo kwa wateja wetu,tofauti na mwanzo ambako kutulikua tukifanya biashara moja kwa moja kusafirisha na ku delivery mizigo.Kama unataka bidhaa kutoka kwenye maifa tajwa hapo tembelea tovuti yetu kwamaelezo zaidi www.digxam.site
 

Attachments

  • 1668696612963.png
    1668696612963.png
    115.4 KB · Views: 38
Kujaza taarifa zako kwenye tovuti yetu ingi akwenye My Account Menu kisha utaona Personal Information weka namba ya simu na majina yako ya kweli weka na Profile Avatar ikikupendeza ila sio lazima kua picha yako unaweza weka picha ya kitu chochote.
 
kizi2.jpg

Tuwekeze kwenye Uvuvi hii ni boat ya uvuvi ya kisasa ndani mzuri sana kuna vifa vya kisasa vya uvuvi ndani iko bomba ya kijanja sana kuwa wakwanza kuimiliki
1.Ina vifaa vyakuta samaki na ktambua walipojificha
2.Kutambua aina ya Samaki
3.Wingi wa samaki
4.Nyavu a kisasa za kunasa Samaki
5.Speed
6.Fulu kiyoyozi
Bei yake M 10
 
Dah mkuu kwahiyo sisi wa kuagiza Toyo hii offer haituhisu@Jinsonjohn,
 
Wateja wanaotaka kununua Meli Boat kubwa Vivuko na bulk cargo mitambo ya miradi mbalimbali Wakandalasi kuna offa za tiketi za ndege bure mnunuzi anaweza kuongozana na mtu wake wa karibu kila moja atapata tike yake ya Emirates Dar Tokyo na kurudi wote mnakaribishwa.
 
Share nawenzako Taarifa hizi, ukipokea mzigo wako toa maoni yako changamoto zozote utakazo kumbananazo au bila changamoto nenda kwenye ukurasa wetu wa Testimonial Share na wenzako ilimradi maoni yako yasiwe ya kupotosha .
 
denso.jpg


Plag Original za Denso mzuri na salama kwamatumiza ya Engine yako ukitumia plug feki utapata hasara utaingia sheli bila kikomo kwasabu uwezo wa plug feki kuchoma mafuta ni mdogo sana. akikisha unatumia Genuine parts kwenye Gari Pikipiki au Generator lako kuepuka hasara zisizokua za lazima
 
Back
Top Bottom