Nitaipata wapi furaha ya kweli?

Nitaipata wapi furaha ya kweli?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,753
Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
 
Furaha gani unayotafuta...unless unajua unataka nini tutaweza kukusaidia. Maana neno Furaha lina maanisha tofauti kwa kila mtu, wengine furaha yao ni kwenye ngono, wengine kilaji, wengine watoto wao, wengine just being alone, wengine pesa etc

Sasa wewe furaha ya aina gani unataka
 
nani alikwambia furaha unaijumua kwenye gulio!
FIND IT IN UR HEART AND GO FOR IT!\
hakuna mtu atakupa furaha wakati we mwenyewe hujui unafurahia nini!
cha!
 
chanzo cha furaha yako ni wewe mwenyewe
Huwezi kudhania watu au marafiki watakuletea furaha kama wewe mwenyewe hujawa na furaha na maisha yako na njia zako na namna unavyoendesha mambo yako na mwisho wa yote Mwenyezi Mungu ndio chanzo cha furaha zako
 
Happiness is a choice, not a result. You choose to be happy and you get it! Bila kujali watu wanachokusemea au kukuwazia, wewe unaweza tu kuwa na furaha!halafu furaha itaendelea tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Unataka furaha ya aina gani??????

Raha jipe mwenyewe bana.......... There is no need to depend on others,,,,,,,,otherwise ile kitu ya apple na banana!!!!!!!!!!!!!!!
 
Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
unazurura kwa sababu Location yako ni: AIRPORT..............Soma ushauri wa The Boss ni wa muhimu sana
 
Furaha gani unayotafuta...unless unajua unataka nini tutaweza kukusaidia. Maana neno Furaha lina maanisha tofauti kwa kila mtu, wengine furaha yao ni kwenye ngono, wengine kilaji, wengine watoto wao, wengine just being alone, wengine pesa etc

Sasa wewe furaha ya aina gani unataka

Bila shaka unatambua kuwa ulivyofurahi siku ulipoolewa ni tofauti na unavyofurahi leo, ingawa ndoa uliyoitafuta ni ile ile na mwanaume uliyenaye ni yule yule, tena inawezekana mlipooana mlikuwa na maisha ya chini lakini leo mmefanikiwa isipokuwa furaha imepungua.
 
Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..

kuna jamaa mmoja anaitwa mchajikobe m pm atakupa furaha ya kweli hadi ukinai!
 
kwa nini utake kutafuta furaha kwa watu.....furaha yako ipo ndani yako mwenyewe.......

Nami nilitaka kumuuliza hivyo hivyo, hivi furaha imekuwa vitunguu au nyanya hata ipatikane kwa kuitafuta kama mtu anavyotafuta bidhaa sokoni? Kusafiri bara na visiwani, kubadili wanaume au kujisogeza karibu na ndg haina msaada wowote wa kumpa furaha mtu, kunaweza kumpa matatizo makubwa. jaribu kuufanyia kazi ushauri wa The Boss!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom