habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
- Thread starter
- #21
Huwezi kuwa na furaha kwa kuwa so desperately looking for it..
anza kwa ku accept your losses...
halafu kuwa busy na 'dreams ' zako
nimekupata ndg, pamoja sana
Huwezi kuwa na furaha kwa kuwa so desperately looking for it..
anza kwa ku accept your losses...
halafu kuwa busy na 'dreams ' zako
Mfalme suleiman pamoja na kumiliki wake 700 namasuria 300 bado alisema hayo yote ni ubatili na kujilisha upepo, wewe umekuwa na wanaume wangapi mpaka ukate tamaa hivyo. Pengine hata 20 hawajafika hata na hao uliowahi kuwa nao hamkupendana bali mlitamaniana tu ili kutoshelezana tamaa za mwili na baada ya kutoshelezana tamaa zenu ndipo kila mmoja anagundua mapungufu aliyonayo mwenzake na kuachana.Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
Mfalme suleiman pamoja na kumiliki wake 700 namasuria 300 bado alisema hayo yote ni ubatili na kujilisha upepo, wewe umekuwa na wanaume wangapi mpaka ukate tamaa hivyo. Pengine hata 20 hawajafika hata na hao uliowahi kuwa nao hamkupendana bali mlitamaniana tu ili kutoshelezana tamaa za mwili na baada ya kutoshelezana tamaa zenu ndipo kila mmoja anagundua mapungufu aliyonayo mwenzake na kuachana.
Furaha utaipata tu pale utakapomshirikisha Mungu wako ili akupatie pair yako ambayo Mungu aliiumba toka kuwekwa kwa misingi ya dunia. Kwa nguvu zako utaitafuta usiku na mchana ukiachiwa majeraha ya moyo na wasio chaguo lako kila siku. Ngoja niishie hapa niwape nafasi wenzangu maana kila ninapoandika naona kama mzuka wa kuandika unapanda tu.
ni kwa Yesu tu ndio utakapopata furaha ya kweliBinafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
Short answer !!Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
Bila shaka unatambua kuwa ulivyofurahi siku ulipoolewa ni tofauti na unavyofurahi leo, ingawa ndoa uliyoitafuta ni ile ile na mwanaume uliyenaye ni yule yule, tena inawezekana mlipooana mlikuwa na maisha ya chini lakini leo mmefanikiwa isipokuwa furaha imepungua.
Furaha ya kweli ipo pale ulipoiweka thamani yako... KIimsingi thamani yako ipo ndani yako, ipo kwenye utu wako, ipo kwenye roho na moyo wako... Lakini kwako thamani yako umewakabidhi ndugu zako, rafiki zako, na wanaokugegeda. Sasa hao siku wakikuboa, wanaharibu thamani uliyowakabidhi na mwisho kukuumiza wewe.... THAMANI YAKO IPO NDANI YAKO, AND HENCE FURAHA YAKO..Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
Mkimbilie Yesu yeye ni rafiki mwema...
nimeokoka miaka mingi iliyopita,
lakini pia kuna wakati nakosa furaha ya kweli
How can that be possible?
nimeokoka miaka mingi iliyopita,
lakini pia kuna wakati nakosa furaha ya kweli