GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Asante ndugu zetu kwa kutuunga mkono. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Kama ccm wanachangisha pesa za kampeni je chauma na Act wazalendo watayoa wapi pesa za kampeni
 
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.

NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.

Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Screenshot_20250812-073013.png
 
sisiemu haichangiwi, hapo mzigo ushamwagwa na rosta unasafishwa tu sasa kwa kuzuga michango! Watanzania gani hawa tunaowajua wakuchangi 100B? Kalagabaho...

Tangu abduel kaanza kumwaga miaka mingapi nyuma eti leo wanataka mchango, wabongo mazuzu nao wataamini, ndo mana wanatuita kenge yani. Tukishashiba kande hakuna tunalowaza zaidi ya kupumua tu
 
Nadhani Chama kinarudisha gharama za,kuchapisha picha za SSH,boda boda,baiskeli,bajaji, T shirt,Vitenge,Kofia,Ubwabwa na elf tano tano! Kama ulipewa hivyo toa tone tone.
 
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.

NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.

Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Ccm ni chama TAJIRI imekuwepo kwenye DOLA decades nyingi tangia baba wa TAIFA.

Hakuna haja ya kuweka bakuriii kuchukua shilingi mia mia za maskini majority ya watanzania/ TANGANYIKA WAKEUP

Nashaur michango iwe kwa wahitaji ila binafsi naona CCM sio wahitajii ccm ni chama DOLA decades CCM sio mlemavu CCM sio wahitajii kabisa kabisa

NB. min -me hiyo pesa unataka kuitoa mchango tukapige pombe na supu ya samakii

Monetary doctor hiyo pesa unataka kuitoa twende tukanywe bia na kitimoto

Lamomy hiyo pesaaa unataka kuitoa CCM twende ukasukie
 
Ukitaja hiyo bia naona jioni mbali 😂😂

cc Poor Brain mla kitimoto
 
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.

NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.

Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Hata mimi ntachangia ccm na pia ntaichangia chadema
 
Back
Top Bottom