GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm ni chama TAJIRI imekuwepo kwenye DOLA decades nyingi tangia baba wa TAIFA.

Hakuna haja ya kuweka bakuriii kuchukua shilingi mia mia za maskini majority ya watanzania/ TANGANYIKA WAKEUP

Nashaur michango iwe kwa wahitaji ila binafsi naona CCM sio wahitajii ccm ni chama DOLA decades CCM sio mlemavu CCM sio wahitajii kabisa kabisa

NB. min -me hiyo pesa unataka kuitoa mchango tukapige pombe na supu ya samakii

Monetary doctor hiyo pesa unataka kuitoa twende tukanywe bia na kitimoto

Lamomy hiyo pesaaa unataka kuitoa CCM twende ukasukie
Kwanza siwezi kutoa maji kwenye pipa nikamwaga baharini..!!
 
Wachangie waliopo kwenye system ya Upigaji

CCM hawana mpinzani hizo hela zitapigwa tu na wakubwa,

Mpinzani wa kweli wa ccm ni Lissu na wamemuweka ndani ili ccm isiwe na mpinzani mwenye nguvu.
Mungu awalaani wanaohujumu democracy ya nchi hii..
 
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.

NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.

Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla

Watachangia waliopewa baiskeli na pikipiki na chupi.
 
Wamesema wanaomba mchango kwa walio tayari kuchangia. Kama wewe HUWEZI, Ahsante. Sie tushachangia na wengine wanaendelea kuchangia. Wewe subiri utachangia kwenye tone tone!
Weka uthibitisho hapa ISIJE KUA PENGINE UNAJITEKENYA NA KUCHEKA MWENYEWE 😊😊

Matomaso waamini kua umechangia CCM ISIJE KUA PENGINE unafanya propaganda.

CCM MBELE KWA MBELE.
 
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.

NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.

Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Kama.kuna stuts inatoa balance live Mimi Niko tayari,hili dude ni letu bafuni,mezani tunalo.
 
Steve Nyenyere anachangua 10m TZS & Baba Askofu Mwamposa amechangia 50m TZS
 
Back
Top Bottom