GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Asante baba paroko kwa mwongozo wa Ijumaa.
UMeona linavyopenda michezo ya mende hili jamaa huku akisema dini ndo imeruhusu

Astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah astakafirullah msiba mzito huu
 
Huu mchango ni aibu kwa chama zile hongo za bodaboda na baiskeli daaaaah s pw
 
Ccm ni kama chama kilichokufa. Sasa hivi hakitaki kuingia kwenye uchaguzi na wapinzani. Unafikiri nini kitatokea 2030? Je unafikiri itakuwa rahisi kwa mshindi wa uchaguzi ujao kuendesha nchi hii kwa miaka mitano (till 2030). Hakuna mtu atakayeweza kuendesha nchi hii baada ya uchaguzi as October. Si rahisi nchi hi kutawalika. Mazingira ya nchi kutotawalika yameshaandaliwa na ccm wenyewe na yako sawa kabisa.
 
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.

NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.

Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla

View: https://www.youtube.com/watch?v=pnuuynE6jps

Yani nikichangie chama chenye uwezo wa kugawa pikipiki na baskeli nchi mzima ,chama chenye uwezo wa kununua mabasi zaidi ya 20 mapya halafu leo mseme eti mnataka kuchangiwa mnatuonaje labda.

Huo mpango wenu wa kutakatisha pesa chafu huo siwezi kuwa mshirika wa ushenzi huo wa CCM mtandao mafisadi.
 
Hiyo pesa unayotaka kuichangia ccm naomba niingizie kwenye namba yangu 0614 922509 hii ni halotel kuliko kuichangia ccm ambayo ni chama tajiri Bora unisaidie Mimi nipate hata Panadol
 
Back
Top Bottom