Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
wewe ni mwendawazimuKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
wewe ni mwendawazimuKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
Who cares?Si bora nikafume mkeka
WAKALE WANAPOLIWA ❌❌Unataka tukale wapo sisi wasanii
Changa hela nyumbu wewe
Utatoa kwa lazimaSi bora nikafume mkeka
Utatoa kwa lazima pumbavuWAKALE WANAPOLIWA ❌❌
Changa hela mzeeWanatuomba tuwaajiri pia wanatuomba tuwachangie nauli ya kuja kusailiwa,
Wakipita wanakula watakavyo sisi twalala njaa
Una hizo hela zaidi ya komwe?
Una hizo hela zaidi ya komwe?
Sisi wasanii tunasubiri kulamba asali tuuChiChieM haina tofauti na Mwamposa..
Nyie nyie nyie nyie nyie... ni nyie ni nyie ni nyie
- Uongozi mnachaguana nyie...
- 10% mnapiga nyie..
- Zabuni za dili mnapiga nyie..
- Hela za Mikataba ya nchi mnapiga nyie..
- Kampeni bado tuwachangie nyie..
Ulishatoa kwa lazima?Utatoa kwa lazima pumbavu
Hatimaye tonetone imefika CCM.Mi pia.
Mlambe asali ya nani? mnafirimbwa nchi nzima, kampeni zikiisha mnapewa vifuta jasho,,, hela wanakula ma-comrade..Sisi wasanii tunasubiri kulamba asali tuu
Changeni hela nyumbu nyie
Sema utatoa tone tone ya ccm. Safari hii naona hazina haina kitu, imebidi mkakusanye kwa wauza unga na wakwepa kodi. Hakuna kitu kigumu kama kuendesha uchaguzi wa rushwa.Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
Naona project ya Chauma imewafilisi.Wafanyabiashara Kariakoo na wale wa kichina wakati ndio huu