TEGETA KIBAONI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 651
- 142
Ungepakoti hapo panaposema hivyo ningekuona mtu makini kwelikweli, lakini neno kwa sababu halina mantiki ni kama wale wanaosema Nguruwe ni haramu kwa sababu ana vijidudu ambavyo vina madhara kwa binadamu na kwamba hawafi kwa nyuzi joto mia moja, swali kwa wenye mawazo ya kwasababu, Je endapo itagundulika tiba ya kuwachoma sindano yenye dawa ambayo nguruwe anaondokewa na wadudu hao ndio itakuwa halali kuliwa na waislamu? Kikubwa ni utaratibu wa dini husika katika kutekeleza jambo fulani katika imani yao na si kwasababu kadha wa kadha.........Na Mwenyezimungu anajua zaidi.Inayosema watu wakifa wasizikwe Na majeneza! Kumbe sababu ya ukame Na Jangwa kipindi cha Mtume! Kupelekea kutokuwepo kwa miti ambayo inngekatwa mbao!?