Nissan Dualis zimepatwa na nini?

Nissan Dualis zimepatwa na nini?

Toka mwaka 2012 nanunua magari mkuu napata maoni kama hili lako, awali nilikuwa napata tabu sana na huo msemo au kauli, ila nikaja jua ni hulka zetu wabongo. Hela ni ya mawazo kweli ila naihitaji pia.
Sio hulka. Hata ukimiliki gari miaka 20 ukitoka Toyota ukiingia huko kwa Wajerumani ni ligi mbili tofauti. Kama una hela ya mawazo achana na magsri ya wazungu.
 
Habarini za Muda Huu Wana JF
Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo ..

Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
Fuel consumption iko juu
Spare ziko juu
Risk za kuwaka moto ziko juu
Durability iko chini
 
Sio hulka. Hata ukimiliki gari miaka 20 ukitoka Toyota ukiingia huko kwa Wajerumani ni ligi mbili tofauti. Kama una hela ya mawazo achana na magsri ya wazungu.
😃😃 nimekusoma brother, ila pia kuna uzi mwingine nime u search humu wa hilo gari umechangia kwa kina zaidi, nimepata madini. Ila ile gari inatia hamu sana
 
Unajua nimefikiria ulivosema “ile ya kujivua nguo na kubakia empty juu” nikawa sielewi, nikajua code, kumbe unamaanisha cabriolets aka convertible?

E-Class zake ni expensive, cheki na SLK naonaga cheap.

Unataka mwaka upi exactly?
Nikitaka kuvuta gari nakucheki mkuu unipe maujuzi
 
Habarini za Muda Huu Wana JF
Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo ..

Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana

Zipo Ist nyingi zinauzwa. Zimepatwa na nini? Nyie madogo hamjui magari mnakuja kutusumbua nlidhani una hoja ya maana. Mi nauza BMW utauliza zimepatwa na nini? Au Alphard ?
 
Mafundi wanasingiziwa sana bongo...
Iwe nyumba au gari...lawama ni kwa fundi....kwani fundi ndio ananunua spare au material?
Wengi hatuna uwezo wa vitu tunavyo miliki, hii ndio sababu
 
Back
Top Bottom