Nissan Dualis zimepatwa na nini?

Nissan Dualis zimepatwa na nini?

Hizi gari kwetu sisi wabongo bado tunahitaji elimu zaidi kuhusu magari hizi gari fuel consumption yake ni ya kawaida ila inahitaji uangalizi mara kwa mara meme mwingi ndo mana zina waka sana izi tuzifanye zakuendea sokoni tu
 
Gari yeyote ukizingua inawaka, jikisha shuhudia ist inawaka, kinachosababisha moto kwenye duals hasa hasa ni lie tambala la kwenye manford ambalo linazuia joto kwenye pipes za ac , ukilitoq qu ukapiga libit vzr tatizo kwesha
Bado xinawaka Moto, mbona Siku hzi haya Matukio Hatuyaoni Sana?
 
Back
Top Bottom