ozigizaga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 765
- 1,829
Hata mimi nimeshangaa mkuu, dualis inatumia mafuta vizuri sana kwa uzoefu wanguKwenye fuel hapo umetupiga, umewah kutumia duals?
Hata mimi nimeshangaa mkuu, dualis inatumia mafuta vizuri sana kwa uzoefu wanguKwenye fuel hapo umetupiga, umewah kutumia duals?
Yan duals ukikingqnisha na engene zingine zenye 1999 kama za subaru, duals inanusa pia baadh ya spare bei chee mfano gearbox nilinunuaga laki 7.5. hizi gari bhna hazitakagi mtu mwenye rough driving cvt fruid fake na mengine lakin ni binge moja la gari ndio maana watu bado wanaendelea kuagiza, hakikisha tu hata plugs ni zile recommended tuHata mimi nimeshangaa mkuu, dualis inatumia mafuta vizuri sana kwa uzoefu wangu
Nina nissan dualis namba BZB(BABA) na inadunda mbeya-songea-Mtwara bila shida yeyote. Nimeshabadili gearbox mara moja nilinunua laki 5 na kile ile water reserve tank ndo huwa inaletaga shida. Pia kuna kipindi ilikuwa haipokei resi na hii ilitokea baada ya panya kula nyaya. Nikitoka mbeya to dar mafuta naongezea MlandiziYan duals ukikingqnisha na engene zingine zenye 1999 kama za subaru, duals inanusa pia baadh ya spare bei chee mfano gearbox nilinunuaga laki 7.5. hizi gari bhna hazitakagi mtu mwenye rough driving cvt fruid fake na mengine lakin ni binge moja la gari ndio maana watu bado wanaendelea kuagiza, hakikisha tu hata plugs ni zile recommended tu
Yah water resarve tank hua inapasuka sana hasa ukitumia maji badala ya coolantNina nissan dualis namba BZB(BABA) na inadunda mbeya-songea-Mtwara bila shida yeyote. Nimeshabadili gearbox mara moja nilinunua laki 5 na kile ile water reserve tank ndo huwa inaletaga shida. Pia kuna kipindi ilikuwa haipokei resi na hii ilitokea baada ya panya kula nyaya. Nikitoka mbeya to dar mafuta naongezea Mlandizi
Kwetu shida ni Nini?! Maana Japan Huko Gari Hizi Odometer zake unakuta nyingi ni Kilometer elfu 50 mpaka laki.. Huku Mbongo akitembelea kilometer elfu 5 anaiweka sokoni imemshinda au Imeungua TayariWatumiaji ndo wana shida hata mwaka hawamalizi wamechoma gari wakat mzungu katumia km laki 9,
Dualis watu wengi zinawashinda Wanazipeleka kwa Madalali wa Magari Used ilimradi mtu arudishe Pesa yake anunue Nyingine, Angalia Resale Price yake Ndio Utajua Watu wanarudisha Mitaji tu..Kumbe gari ikiuzwa sana ni tatizo? Kama zingekuwa haziuzwi, hao wanaozitumia wangezipata wapi?
Au gari gani wewe unaona haiuzwi sana, tukaitafute kwenye mitandao tusiione
Ila Naona Kwenye Website za Japan kuna Zenye Mfumo wa AUTOMATIC.. Tofauti na CVTYan duals ukikingqnisha na engene zingine zenye 1999 kama za subaru, duals inanusa pia baadh ya spare bei chee mfano gearbox nilinunuaga laki 7.5. hizi gari bhna hazitakagi mtu mwenye rough driving cvt fruid fake na mengine lakin ni binge moja la gari ndio maana watu bado wanaendelea kuagiza, hakikisha tu hata plugs ni zile recommended tu
Fuel consumption ya kawaida sana. Tatizo la dualis mifumo ya umeme mingi kwaiyo kuwaka moto dakika 0 tuFuel consumption iko juu
Spare ziko juu
Risk za kuwaka moto ziko juu
Durability iko chini
Ninayo volkswagen touareg hapa nyumbani. Huwa naenda nayo kwenye mizunguko maalumu tu na mitoko ya wikiend.Sio hulka. Hata ukimiliki gari miaka 20 ukitoka Toyota ukiingia huko kwa Wajerumani ni ligi mbili tofauti. Kama una hela ya mawazo achana na magsri ya wazungu.
Ni gari gani hio ulinunua 10m ukauza 15m? Uliuza baada ya kuitumia muda gani? Huyo uliemuuzia alitoka Nyarugusu au Kasulu?Dualis watu wengi zinawashinda Wanazipeleka kwa Madalali wa Magari Used ilimradi mtu arudishe Pesa yake anunue Nyingine, Angalia Resale Price yake Ndio Utajua Watu wanarudisha Mitaji tu..
Mtu kaagiza Gari Japan mil 15-17 halafu Anaisajili kwa Namba E then mwaka Hujaisha Anaiuza mil 10 mpaka mil 8
Ila Angalia Kwa Toyota IST au Gari zingine za Toyota, Mtu alinunua Mil 10 anauza mil 13 mpaka 15
Hivi kuna gari inauzwa kuliko Toyota IST hapa Tz?Kumbe gari ikiuzwa sana ni tatizo? Kama zingekuwa haziuzwi, hao wanaozitumia wangezipata wapi?
Au gari gani wewe unaona haiuzwi sana, tukaitafute kwenye mitandao tusiione
hawah ziona labda manual ndio nazijua na kuziona pamoja na cvtIla Naona Kwenye Website za Japan kuna Zenye Mfumo wa AUTOMATIC.. Tofauti na CVT
Hili usibishe, Mimi pia nimewahi kufanya hivyo. Niliagiza Audi A4 kwa mil 9 tu wakati wa offer ilikua 2016. Nikaja kuiuza kwa mil 14Ni gari gani hio ulinunua 10m ukauza 15m? Uliuza baada ya kuitumia muda gani? Huyo uliemuuzia alitoka Nyarugusu au Kasulu?
9m offer ya wapi? Hio gari hukulioia ushuru?Hili usibishe, Mimi pia nimewahi kufanya hivyo. Niliagiza Audi A4 kwa mil 9 tu wakati wa offer ilikua 2016. Nikaja kuiuza kwa mil 14
Offer kule kwao.9m offer ya wapi? Hio gari hukulioia ushuru?
Hebu Angalia Hapa hizi Screen Shot.. Nyingi naona Beforward Huko zimeandikwa Automatic na Chache sana Ndio zina CVT ..C
hawah ziona labda manual ndio nazijua na kuziona pamoja na cvt
Bado xinawaka Moto, mbona Siku hzi haya Matukio Hatuyaoni Sana?Fuel consumption ya kawaida sana. Tatizo la dualis mifumo ya umeme mingi kwaiyo kuwaka moto dakika 0 tu