Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,081
- 6,085
Mkuu, kuna uzi nilikuquote juzi sijaona reply yako.Haina kwere mkuu
Nahitaji kununua gari ya kuanzia maisha ya bajeti ndogo ambayo itadumu.
Option ya kwanza nipo nayo ni kuna jamaa anauza Mazda Verisa, nafikiria kama kuna option nyingine nzuri zaidi unitonye.