Nishati jadidi ni nini?

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,216
2,820
Habari,

Kama title inavyojieleza hapo juu naomba ufafanuzi kuhusu nishati jadidi kwani nimekuwa nikikumbana na neno hilo lakini sielewi maana yake kiundani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjajua maana ya neno jadidi, lakin km msomi mmoja hapo juu amesema jadidi ni neno la kiarabu likiwa na maana ya mpya basi Nishati jadidi ni Nishati mpya kwa Kiingereza inaitwa Renewable energy resources
Nishati jadidi ni aina ya nishati ambayo haikwishi katika matumizi yaani unaitumia lakini huwezi kuimaliza mfano ni Nishati ya jua(solar energy), nishati ya umeme wa maji( HEP), nishati ya upepo(wind power), Biogas etc
Nishati nilizozitaja hapo juu hazikwishi katika matumizi utatumia uwezavyo lakini hazikwishi
Ahsante
 
Kumbe! Asante

Back
Top Bottom