JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
gfsonwin, sio mie ni jirani yangu huyo.....
nafikisha ujumbe tu kwa wadau.............................LOL
mmhh we mchokozi kweli... we unaonekana wa jino kwa jino bampa 2 bampaa kaazi kweli kweliWewe mzee unazeeka vibaya ujue. Siku tunamtafutia maza kidumu utaiaoma namba, ohooo!
halo halooooo!haumuuzi mkeo unajiumiza mwenyewe bwana
watu wanavyopenda kusingizia matukio ili wakazini vizuri
Hahahaha Mtambuzi acha kuleta ujanja hapa lol..........msalimie baby boy!