Nisameheni

bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!

hahahaha......kweli hapa kazi ipo..labda niperuzi nione hii 'shida' ni nini

by the way hommie Kimey, nacelebreti na kusherekea avatar mpya-ya zamani ya CM, hope unanisoma eeh😀
 
hahahaha......kweli hapa kazi ipo..labda niperuzi nione hii 'shida' ni nini

by the way hommie Kimey, nacelebreti na kusherekea avatar mpya-ya zamani ya CM, hope unanisoma eeh😀
Mi nimepapenda hapo kwenye red tu, basi.
 
Nahisi kama hangover inaanza kuisha!
hommie hebu ka shtue tena bado tunahitaji mapwointi yako!!
hahahaha......kweli hapa kazi ipo..labda niperuzi nione hii 'shida' ni nini

by the way hommie Kimey, nacelebreti na kusherekea avatar mpya-ya zamani ya CM, hope unanisoma eeh😀
Nimekusoma komrade!! ha ha ha CM noma bana!!
Mi ntakuwa nshatinga kaunta!
he he he mi ntakua nachungulia kama guest vile!!
 
hommie hebu ka shtue tena bado tunahitaji mapwointi yako!!
he he he mi ntakua nachungulia kama guest vile!!
Hapo umenena jambo. Manake naona patakuwa hapatoshi hapa! Unakuwa unachungulia kama unapiga chabo mwarubaini gesti hausi.
Hivi kupiga chabo kwa kinoname tunasemaje? Kubeat chabo au?
 
afu na wewe kumbe una tabia kama za Meku, kunguru waoga nyieee
sasa bibie hebu pata picha noname labda amekasirika then anaamua kujibu hoja kinoname...si patakua hapatoshi!!
 
asante sana kwa kusikia kilio chetu........father-xmas atakupatia zawadi.....
 
Hapo umenena jambo. Manake naona patakuwa hapatoshi hapa! Unakuwa unachungulia kama unapiga chabo mwarubaini gesti hausi.
Hivi kupiga chabo kwa kinoname tunasemaje? Kubeat chabo au?

hahaa hata kama umeandika kwa penseli nimeisoma hiyo

Ushasahau navyokuokoaga? Subiri....!

kwa kutumia exibit hiyo hapo juu, nani atamuokoa nani leo??
 
sasa bibie hebu pata picha noname labda amekasirika then anaamua kujibu hoja kinoname...si patakua hapatoshi!!

na sisi tutatetea hoja ki-bluray
hahaaaa lugha kongana tayri hapo hapatoshi kweli......tutenda kidongo chekundu
 
he! unaiga tembo kunya mkulu? au wataka kuchezea sharubu za simba?

usije sema sijakwambia
B nini kimetendeka kwani!! u-Shingongo nini?? sikuelewa mie mwenzio leo slow mbaya!!
 
https://www.jamiiforums.com/members/cheusimangala.html https://www.jamiiforums.com/members/cheusimangala.htmlhttps://www.jamiiforums.com/members/cheusimangala.htmlhttps://www.jamiiforums.com/members/cheusimangala.html

Ni yule yule Cheusi???
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…